Michelle Obama alipokutana kwa siri na boyfriend wake wa zamani

Duh,umenikumbusha mbali kuna Dada aliwahi kunitamkia kuwa anahitaji niwe nae lakin sikumuelewa mwaka Jana nimektanae kumbe aliolewa na kibosile
 
Duh nimeipenda Sana Ila Michelle angekuwa ni mtanzania ambavyo hawaridhiki hata kama ni mke wa rais ungesikia anatoroka kurudi mgahawani baadae, kwani amkumbuki Yule alikuwa mke WA rais anahangaika na wapiga Gitaa? Segerea si kuzuri lakin
Mpiga gitaa alimtungia wimbo, yule mke wa rais akawa kila mara anaiimba. Mara phaa.! Rais kashtuka mpiga gitaa kawekwa nyuma ya nondo..!
...itaendelea....
 
Kila siku nawaambia maisha hayana formula, mbona hamtaki kusikia tu? Yule Andrea ndie angekua Rais kipindi hicho mngesema haya?
 
Duh nimeipenda Sana Ila Michelle angekuwa ni mtanzania ambavyo hawaridhiki hata kama ni mke wa rais ungesikia anatoroka kurudi mgahawani baadae, kwani amkumbuki Yule alikuwa mke WA rais anahangaika na wapiga Gitaa? Segerea si kuzuri lakin
Wakati ule lakini hakuwa mke wa raid bali mke ya waziri wa mambo ya outside
 
Sio kwamba natilia mashaka ukweli wa stori yako, lakini kwa kifupi CIA hawafanyi operations ndani ya US bali nje ya US. Pia ulinzi wa raisi wa US uko chini ya secret service na sio FBI wala CIA
 
kwa hiyo mkuu unashaur na hawa dada zetu waanze kuomba il waolewe na maraisi !!!
 
Back
Top Bottom