Mkuu unaiweka kwa juu ya pamba au chini, maana nasikia pia zinashambuliwa na fangasiUlizidisha kuloweka masaa 12 yanatosha sana.niliziloweka nikaziweka kwenye kopo lenye pamba iliyolowa kidogo nikafunika,ndani ya siku tano ilichipua,nikahamishia kwenye shimo.now nakula tu matunda.
Unaweka juu,pamba isiwe imelowa sana unyevu kidogo tu ,alafu unafunika ndani ya kopo ili usipote.Mkuu unaiweka kwa juu ya pamba au chini, maana nasikia pia zinashambuliwa na fangasi
Unafunika ili unyevu usipote,kuanzia siku tatu unaangalia kama zimeanza kuotaUnafunika ili isifanyaje sojaelewa hapo mkuu,siku tana zote nafunika ndani ya kopo?
Nielekeze ulivyofanya mkuuNjoo nikuuzie Miche hiyo Ni malkia F1 View attachment 1143800
Mkuu uko wapi Mkuu,na mche mmoja unauzwa sh.ngapi?Njoo nikuuzie Miche hiyo Ni malkia F1 View attachment 1143800
Mkuu uko wapi Nina shida sanaaaa na hiyo miche.Njoo nikuuzie Miche hiyo Ni malkia F1 View attachment 1143800
0755404226 nipo dsm kiluvyaMkuu uko wapi Nina shida sanaaaa na hiyo miche.
Mkuu mche mmoja wa papai unazaa mapapai kama mangapi hadi mangapi...Karibuni kwenye kilimo hikiView attachment 1162074