Miche ya Papai Malkia F1 imegoma kuota

Marire

Marire

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2012
Messages
11,952
Points
2,000
Marire

Marire

JF-Expert Member
Joined May 1, 2012
11,952 2,000
Mkuu mche mmoja wa papai unazaa mapapai kama mangapi hadi mangapi...
Kuzaa kwa mpapai kunategemea na matunzo ,Kama umetunza vizuri sio chini ya 80 /90 Mia na kuendelea
 
F

FUSO

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2010
Messages
16,501
Points
2,000
F

FUSO

JF-Expert Member
Joined Nov 19, 2010
16,501 2,000
Mtoa hoja, fuata maelekezo yafuatayo ili mbegu ziweze kuota zaidi ya 80%.

Loweka mbegu zako kwenye chombo kidogo kwa muda wa siku 4-5, kila hakikisha unabadilisha maji kwa kumwaga yaliyokuwemo na kuweka mpya.

Siku ya 4 ama tano chukua hizo mbegu zako na kuziweka kwenye kitambaa kilicho na unyevunyevu zifunike. Hakikisha kitambaa ni kinyevu nyevu kwa muda wote wa simu 3 na kuendelea.

Fungua kitamba ili kucheki kama mbegu zimepasuka - ukiona asilimia kubwa zimepasuka basi nenda kuotesha kwenye viriba vyao ulivyoviandaa...

Ushauri huu ni bure, lazima zitaota 80% na zaidi, Ukifanikiwa usiache ku PM utoe ushuhuda.

Nakutakia mafanikio mema.... wanaotaka miche za F1 Malaika tuwasiliane
 
Kamgomoli

Kamgomoli

Senior Member
Joined
May 3, 2018
Messages
177
Points
500
Kamgomoli

Kamgomoli

Senior Member
Joined May 3, 2018
177 500
Udongo unaonekana uko compact sn(mfinyanzi) na rahisi kutuamisha maji. Huo sio udongo mzuri kwa mipapai. Inatakiwa udongo tifutifu usiotuamisha maji
 
Negemu

Negemu

Member
Joined
Dec 26, 2017
Messages
87
Points
125
Negemu

Negemu

Member
Joined Dec 26, 2017
87 125
Mtoa hoja, fuata maelekezo yafuatayo ili mbegu ziweze kuota zaidi ya 80%.

Loweka mbegu zako kwenye chombo kidogo kwa muda wa siku 4-5, kila hakikisha unabadilisha maji kwa kumwaga yaliyokuwemo na kuweka mpya.

Siku ya 4 ama tano chukua hizo mbegu zako na kuziweka kwenye kitambaa kilicho na unyevunyevu zifunike. Hakikisha kitambaa ni kinyevu nyevu kwa muda wote wa simu 3 na kuendelea.

Fungua kitamba ili kucheki kama mbegu zimepasuka - ukiona asilimia kubwa zimepasuka basi nenda kuotesha kwenye viriba vyao ulivyoviandaa...

Ushauri huu ni bure, lazima zitaota 80% na zaidi, Ukifanikiwa usiache ku PM utoe ushuhuda.

Nakutakia mafanikio mema.... wanaotaka miche za F1 Malaika tuwasiliane
Nilifanya hivi mkuu ila zikagoma
 
Marire

Marire

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2012
Messages
11,952
Points
2,000
Marire

Marire

JF-Expert Member
Joined May 1, 2012
11,952 2,000
Inazaa Sana kutokana pia na eneo na matunzo yako ,kila siku nazidi kujifunza kuhusu kilimo hiki ila sikiachi ,kinalipa!!!!
 
G8M8

G8M8

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2019
Messages
430
Points
500
G8M8

G8M8

JF-Expert Member
Joined Jan 24, 2019
430 500

Mkuu soko lake vp lipo wapi maana masoko changamoto Sana.. Nataka kulima papai na je ekari moja inaweza pandwa miche mingapi na mapapai kwa mche mmoja na bei yake ya jumla unauzaje.. Na je ww unalimia wapi kiasi gani cha ardhi tupe changamoto unazo kumbana nazo na ss vijana tujifunze.. Nawasilisha
 
heradius12

heradius12

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2011
Messages
9,996
Points
2,000
heradius12

heradius12

JF-Expert Member
Joined Apr 1, 2011
9,996 2,000
Nimelima papai in smal scale, ila haya mambegu ya papai ya F1 ni mabovu kuliko mbegu zetu za asili. Kuna mbegu zetu za asili zinazaa mara 4 ya hizi za F1, zinakuwa fasta, na zinahimili magonjwa sana. Shida ya hizi za asili ni vigumu kutambua dume na jike kabla hazijaanza kutoa maua.
 
Thad

Thad

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2017
Messages
11,922
Points
2,000
Thad

Thad

JF-Expert Member
Joined Mar 14, 2017
11,922 2,000
Nimelima papai in smal scale, ila haya mambegu ya papai ya F1 ni mabovu kuliko mbegu zetu za asili. Kuna mbegu zetu za asili zinazaa mara 4 ya hizi za F1, zinakuwa fasta, na zinahimili magonjwa sana. Shida ya hizi za asili ni vigumu kutambua dume na jike kabla hazijaanza kutoa maua.
Hizo mbegu za asili zinapatikana wapi kiongozi?
 
Executor

Executor

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2014
Messages
650
Points
500
Executor

Executor

JF-Expert Member
Joined Sep 29, 2014
650 500
Mkuu soko lake vp lipo wapi maana masoko changamoto Sana.. Nataka kulima papai na je ekari moja inaweza pandwa miche mingapi na mapapai kwa mche mmoja na bei yake ya jumla unauzaje.. Na je ww unalimia wapi kiasi gani cha ardhi tupe changamoto unazo kumbana nazo na ss vijana tujifunze.. Nawasilisha
Mimi si mtaalamu lakini kuna makala fulani nilifatilia Hekari moja miche kama 1000, bei ya shamba 500 mpk 1000 inategemea.....
Additional subiri mtaalamu....
 
Marire

Marire

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2012
Messages
11,952
Points
2,000
Marire

Marire

JF-Expert Member
Joined May 1, 2012
11,952 2,000
Mkuu soko lake vp lipo wapi maana masoko changamoto Sana.. Nataka kulima papai na je ekari moja inaweza pandwa miche mingapi na mapapai kwa mche mmoja na bei yake ya jumla unauzaje.. Na je ww unalimia wapi kiasi gani cha ardhi tupe changamoto unazo kumbana nazo na ss vijana tujifunze.. Nawasilisha
Miche nauza 2000 ,soko la matunda ya papai Ni 1500 , changamoto Ni maji ya kumwagilia tu
Ekari moja Miche 1200 Hadi 1000 inategemea na shamba lilivyo kwa maana ya visiki au makorongo

Ushauri zaidi Ni bure 0755404226
 
G8M8

G8M8

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2019
Messages
430
Points
500
G8M8

G8M8

JF-Expert Member
Joined Jan 24, 2019
430 500
Miche nauza 2000 ,soko la matunda ya papai Ni 1500 , changamoto Ni maji ya kumwagilia tu
Ekari moja Miche 1200 Hadi 1000 inategemea na shamba lilivyo kwa maana ya visiki au makorongo

Ushauri zaidi Ni bure 0755404226
Asante Sana
 
F

FUSO

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2010
Messages
16,501
Points
2,000
F

FUSO

JF-Expert Member
Joined Nov 19, 2010
16,501 2,000
Nimelima papai in smal scale, ila haya mambegu ya papai ya F1 ni mabovu kuliko mbegu zetu za asili. Kuna mbegu zetu za asili zinazaa mara 4 ya hizi za F1, zinakuwa fasta, na zinahimili magonjwa sana. Shida ya hizi za asili ni vigumu kutambua dume na jike kabla hazijaanza kutoa maua.
Mkuu inategemea na factors nyingi....PH ya udongo, matunzo kwa ujumla (Madawa Mbolea na Umwagiliaji).
 
Forum statistics

Threads 1,343,213
Members 514,963
Posts 32,776,974
Top