INAUZWA Miche ya kisasa ya matunda inauzwa

20210123_143913-1.jpg
giant passion
 
Asanteni wakuu kwa kuendelea kutuamini.
Tunafurahi sana kuwahudumia lakini pia shukrani nyingi kwa mkuu aliefika ofisini kwetu leo.Mmefanyika baraka kwetu.
 
IMG-20210827-WA0003.jpg

Nini kifanyike endapo mche/miche yako itatoa maua mengi kiasi cha kuelemewa katika umri mdogo?
 
IMG-20210919-WA0007.jpg

Mche umeadhiriwa na wadudu,kiasi cha kupelekea kupoteza majani yote😓.
 
Hizo ni baadhi ya changamoto wanazokutana nazo wakulima wa miche ya matunda.Hata baada ya kukuhudumia,bado tutaendelea kukupa ushauri kwa kila changamoto utakazo kutana nazo ili kufikia lengo lako.

"Serving you is my pride"
 
Mrembo Lily Tony,, Makadamia yanaota kwenye mazingira yapi!?
Na huchukua miaka mingapi mpka kuzaa?
Na bei kwa mche ni how much!?

Kifupi naomba shule ya makadamia.
😊sawa boss,tafuta notebook na kalamu narudi kukupa hints
 
Tiyari nimeshanunua na counter book "kwaya nne" na kalamu nyeusi na nyekundu.
Samahani kwa kuchelewa kukujibu kwa wakati mkuu.
Macadamia nuts zipo za aina mbili
1.Macadamia ambazo ganda lake(shell) ni rough.Mche huu katika mzunguko mmoja na majani 4
Aina hii ndio hupatikana sana Tz

2.Macadamia ambazo ganda lake ni soft,mche wake una majani 3

Macadamia zinastawi vizuri kwenye maeneo/mikoa inayostawi Migomba,parachichi,kahawa.Ingawa maeneo mengine pia majaribio yanaonyesha kuleta matokeo mazuri

Mche huanza kutoa nuts baada ya miaka 3(hii ni mche wa kisasa).Miaka 5 kwa local seedling

Uvunaji wake ni wa aina mbili
1.Nuts zinaanguka zenyewe
2.Nuts kutunguliwa

Mti huzaa mara 2-3 kwa mwaka ,kwa wastani wa kg 20-25
Mavuno kwa mwaka yanakadiriwa kuwa 45-90kg/yr.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom