Michapio hatari

Mangi, siyo maziwa ya pakti, nataka hayo ya chupi!
 
skelewu by Davido- alitaka kumaanisha sikuelewi
 
Buguruni na gongo la mbali wapi mboto?

Swali: Umeshawahi kumsikia samaki juu mtu chini binadamu?- Nguva
ha ha ha ha
 
NenoMichapio ya hatari lina Utata hilo...:wacko:
 
kuna siku tulikuwa tunaangalia mpira na watu ninaowaheshimu nikajisahau nikaropoka
"kesho ni misri na egypt eeh?"
 
Mchapio mkali ni ..wa mavi ya ng'ombe...kama tukifanya ranking
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…