Michano, Punch lines special thread

Ndani ya kanisa, hata uwe jambazi wa kutisha huwezi kutoa sadaka ya mtutu,

Karibu kwenye ukumbi wa kasheshe,

Uchumi umeshuka tunakula vumbi mpaka cheche,

kuna fakebook na pia Facebook/
tozi analalama eti songa mbona humpendi jux /
 
Mapenzi ya sikuhizi.. bila kugombana yanakua hayana stimu/

Pia ni ruksa kushikana lakini sio kushikiana simu/

Fid q - Bongo Hip Hop

Mbaya.. kuhifadhi fuvu la mtu ndani ya kabati/ mbaya zaidi ni kuwa na ndugu.. halafu kichwa maji/

Amka bongo lala.. hiphop sio ufala.. ni lazima uifate/

Uaminifu ni kama mshahara.. fanya kazi ili uupate
 
Gheto nina vitu vya kutosha/ukitaka battle nakuficha kama nyeti ndani ya boxer (Mbish)
 
japo najua kupeta inachekesha eti nyumbani hawapiki eti kisa sijaleta jiko
unataka luku zunguka kama panya buku
vigumu kupata ujumbe kwenye mwili wa baba luku\

mstar wa mwisho sio "ujumbe" ni umeme...isomeke ni vigumu kupata UMEME kwenye mwili wa baba LUKU
 
naweza kutambua mti gani sumu na upi unafaa kwa dawa/
ni zaidi ya mara tatu kaninusuru kuuwawa/
mikononi mwa shetani binadamu alolaaniwa/
.. ole wao wanaotafuta vyeo kwa gharama zozote hata damu za ndugu zao/.. Afande Sele in Namshukuru Mungu Featured by Sugu.
 
Nina style za kininja kama mchezo wa judo/
mtaan naleta Impact kuliko hata Akudo/
Hujafa hujasifiwa I demand my respect/
Sio usubir mpaka nife ndo ukubali I'm the Best.....

Mitaa inaniamini kama kiongozi wa Dini.....
Langa (R.I.P ) -Ninaposimama
 
Marafiki wanao endekeza starehe kamwe nisiwafate,nijidhatiti kutafuta pesa na muda niukamate."kadigo..#
 
Ukiniacha tunda mnafki utakula maganda / hata ukifa umelala huwezi kuzikwa juu ya kitanda
 
Mkubwa muheshimu mdogo
Sele atabaki afande mfalme Hashimu Dogo
 
Mbaya kuhifadhi fuvu la mtu kwenye kabati,lakini mbaya zaidi kuwa na ndugu halafu kichwa maji-Fid q(bongo hip hop)
 
Hiki ni chumba cha wanaume,mchumba anatakiwa,hizo sauti ziwe chini sio juu kama sidiria-Nikki wa pili(pair)
 
hii ni sit ya suka, akishuka akai mtubomu lipuka, me kioo sishiki kutu....
 
Punch line kali sana
 
Nami nanata,nang'ata, microphone kamata,changanya maneno kama karata,toa vingi viulizo kichwani weka na nukta,data na yangu mistari ambayo tata,kitu gani sina??ati viti na vina?au tini na tina??solo nataka jina,popo naisaka heshima!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…