Kama big alikuwa zaidi kipi kilimfanya pac apate umaarufu zaidi?
Mziki una mengi, ili uwe top unahitaji hivyo vingi, pac alikuwa na vingi.
Ukitaka kumzungumzia big, mzungumzie big, biggie ni legend yeye mwenyewe anajitosheleza, haina haya ya kuweka jiwe upande wa pili.