Michano; B.I.G akiwa na Miaka 17 tu.

Michano; B.I.G akiwa na Miaka 17 tu.

Wildlifer

JF-Expert Member
Joined
May 12, 2021
Posts
1,883
Reaction score
5,270
Tupac alikuwa maarufu sana, lakini B.I.G alikuwa akichana zaidi yake, kikubwa sauti ya Notorious ilikuwa na Punch sana.

Hebu sikiliza hii michano kwenye mitindo huru, mwaka 1989 akiwa na miaka 17 tu.

 
Kama big alikuwa zaidi kipi kilimfanya pac apate umaarufu zaidi?

Mziki una mengi, ili uwe top unahitaji hivyo vingi, pac alikuwa na vingi.

Ukitaka kumzungumzia big, mzungumzie big, biggie ni legend yeye mwenyewe anajitosheleza, haina haya ya kuweka jiwe upande wa pili.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom