Maoni yangu...
wapo wachache but they are very strong... mfano ni MS, Gaijin, nk
majority of them hawakujoin JF kutafuta stress... wali-join kuondoa stress na ndio maana lile jukwaa linawafaa sana kwani ni stress release agent!!
sie akina baba, ni fululu-fululu
Naam maana wana majina ya kike na avatar zao ni picha za wanawake, pamoja na kuwa tunatumia majina ya bandia sidhani kama mwanaume anaweza kutumia jina la kike hapa jukwaani na kuweka avatar ya picha ya mwanamke, labda kama kuna kasoro fulani.
BAK anasoftware ya kuona jina la jinsia.
I never thought you could be this naïve...
nishajibu aisee.... za mabinti sipati mie mwenzio, muzee ya memkwa😱Mkuu mbona hujibu PM ama mpaka ziwe zinatoka kwa mabinti? LOL
Haya Kunani???ooh lord, where is WOS when you need her most
MJ1, can you deputise for WoS
Mhhhhhhh! nooooo I am not that naive but I don't see the reason behind for someone to lie about his/her gender on this forum.
sisi ni viumbe weak,hatuwezi kuhimili mikiki mikiki-hizi pressure na stress za siasa hatuziwezi kwanza zinaweza kutufanya tuwe na mikunjo usoni halafu tusivutie bureeeeeeeeeeee.......(hahaha nangoja wale wabeijing aka women rights activists waje kunipopoa mawe hapa.......ngoja nijifiche kny haya masofa...:behindsofa::behindsofa::behindsofa:
WanaJF, nimegundua kuwa wadada waJF hawako interested kuchangia political au posts nyinginezo mbali ya zile zihusuzo mahusiano na urafiki!! Kwa nini?? Tujadili
WanaJF, nimegundua kuwa wadada waJF hawako interested kuchangia political au posts nyinginezo mbali ya zile zihusuzo mahusiano na urafiki!! Kwa nini?? Tujadili
Tupo sana mawenzi na majukwaa yote tunazunguka ,ila jukwaa la siasa ni gumu Ndugu,wanaliweza wenyewe wengine tunachungulia na kutoka pale panapotugusa tunatoa thanx kwenye kandanda tupo tunachangia ,
I mostly contribute on political threads..maybe jina limekaa kushoto, eng Nsiande
jamani mtu HUJIKUNA anapowashwa!,ujikune kichwani wakati umewashwa mkononi?,wapi na wapi hiyo bana?
Umejuaje "gender" za members wa JF?