Hongera kwa kujitokeza kuwakilisha otherwise response ya thread hii pia ulikuwa ushahidi tosha kuwa hampo interested na mambo menginejamani kichwa cha habari chenyewe kiko biased. wengine mbona tunajivinjari na kuacha nyayo zetu almost kila jukwaa? thanks for challenging us though
Msemakweli mpenzi wa Mungu. Afadhali umekuwa mkwelisisi ni viumbe weak,hatuwezi kuhimili mikiki mikiki-hizi pressure na stress za siasa hatuziwezi kwanza zinaweza kutufanya tuwe na mikunjo usoni halafu tusivutie bureeeeeeeeeeee.......(hahaha nangoja wale wabeijing aka women rights activists waje kunipopoa mawe hapa.......ngoja nijifiche kny haya masofa...:behindsofa::behindsofa::behindsofa:
Thread hii imepotea njia ilipaswa kuwa kwenye jukwaa la habari mchanganyiko na sio jukwaa la siasa Mood tulinde.WanaJF, nimegundua kuwa wadada waJF hawako interested kuchangia political au posts nyinginezo mbali ya zile zihusuzo mahusiano na urafiki!! Kwa nini?? Tujadili
WanaJF, nimegundua kuwa wadada waJF hawako interested kuchangia political au posts nyinginezo mbali ya zile zihusuzo mahusiano na urafiki!! Kwa nini?? Tujadili
Kwani unajuaje jinsia za watu wanapochangia?
Kwa kuangalia avatar? Au majina?
Think again....
Kwani unajuaje jinsia za watu wanapochangia?
Kwa kuangalia avatar? Au majina?
Think again....
Ukiwa great thinker wa ukweli, utajua tu kwamba mchangiaji men au beijing! Otherwise ujue huyo mporipori km Raj Patel
I mostly contribute on political threads..maybe jina limekaa kushoto, eng NsiandeWanaJF, nimegundua kuwa wadada waJF hawako interested kuchangia political au posts nyinginezo mbali ya zile zihusuzo mahusiano na urafiki!! Kwa nini?? Tujadili
Doh! I know the biggest fans of udaku mags are hairdressers and housegirls,kawaida yao hao wengi wao huwezi kuwakuta kwenye siasa na kwenye soka wachache sana wanaoonekana kwenye anga hizo. Wao wape habari za kina Ray, kanumba,kwa ujumla wasanii na superstars ambao sio wanasiasa na magazeti mengi wanayosoma ni ijumaa, sani, kiu, uwazi ili waone zile habari za "fulani abambwa laivu akila uroda mheshimiwa mb.......!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
sisi ni viumbe weak,hatuwezi kuhimili mikiki mikiki-hizi pressure na stress za siasa hatuziwezi kwanza zinaweza kutufanya tuwe na mikunjo usoni halafu tusivutie bureeeeeeeeeeee.......(hahaha nangoja wale wabeijing aka women rights activists waje kunipopoa mawe hapa.......ngoja nijifiche kny haya masofa...:behindsofa::behindsofa::behindsofa:
WanaJF, nimegundua kuwa wadada waJF hawako interested kuchangia political au posts nyinginezo mbali ya zile zihusuzo mahusiano na urafiki!! Kwa nini?? Tujadili