BansenBurner JF-Expert Member Joined Feb 16, 2015 Posts 6,809 Reaction score 5,784 Aug 8, 2016 #22 Itakua kuna mtu kawatonya kwamba ukiwafata watu bar washalewa unaweza pata pesa nyingi kuliko sadaka za jpili
Itakua kuna mtu kawatonya kwamba ukiwafata watu bar washalewa unaweza pata pesa nyingi kuliko sadaka za jpili
pmwasyoke Platinum Member Joined May 27, 2010 Posts 5,022 Reaction score 3,886 Aug 8, 2016 #23 Yesu naye mara nyingi aliongea na 'wadhambi' kwa mtazamo wa mafarisayo, ambao walimlaumu.