Wakuu hivi ni namna gani unaweza kuepuka kuchangia harusi hasa hawa wanoomba michango randomly kisa tu ulisoma naye unaamka unajikuta kwenye group na wengine wako na audacity unakuta hadi amount ya mchango ameshakujazia.
Imenilazima kuweka private setting za WhatsApp nisiaddiwe kwenye magroup hovyo lakini bado haitoshi.
Kazini nako unakuta sawa ni staff mwenzio lakini huna personal relationship naye ya aina yoyote na pengine yupo branch ya sehemu tofauti na ulipo na hata hamfahamiani lakini mkeka unawekwa kwenye official group la ofisi ili tu wasiochangia waonekane watu wa ovyo.