Michango Sasa Basi

yeah - Michango BASI - You can not imagine: See below

1. Mchango wa Harusi 40,000
2. Mchango wa Send-off 40,000
3. Mchango wa Kitchen-party 20,000
4. Mchango wa Kipaimara 20,000
5. Mchango wa Komunio 20,000
6. Mchango wa Graduation ya Chekechea 50,000
And then
7. Mchango wa Ulinzi wa Mtaa 10,000
8. Mchango wa Kuzoa taka mtaani 5,000
9. Mchango wa maendeleo ya shule 20,000
10. Mchango wa madawati 20,000
11. Mchango wa Barabara 50,000

And then
12. Michango ya Nyumba za ibada = 100000
 
yeah - Michango BASI - You can not imagine: See below

1. Mchango wa Harusi 40,000
2. Mchango wa Send-off 40,000
3. Mchango wa Kitchen-party 20,000
4. Mchango wa Kipaimara 20,000
5. Mchango wa Komunio 20,000
6. Mchango wa Graduation ya Chekechea 50,000
And then
7. Mchango wa Ulinzi wa Mtaa 10,000
8. Mchango wa Kuzoa taka mtaani 5,000
9. Mchango wa maendeleo ya shule 20,000
10. Mchango wa madawati 20,000
11. Mchango wa Barabara 50,000

And then
12. Michango ya Nyumba za ibada = 100000

Mshahara wako sh. Ngapi
 
Ni kweli kabisa haya mambo ukiyaendekeza utajikuta unafanyia tu maulabu maendeleo ZIRO!
 
Natangaza rasmi, kutotoa mchango wa Harusi,KP,Kip Imara,Sendoff, and the like, Tena. Mtu akiugua akihitaji matibabu india or elsewhere nitatoa the last fiber of my flesh, Nitashiriki msiba kwa asilimia mia, lakini sio huu upjinga!!
 
Tukitaka tupunguze michango lazima turekebishe mambo mengine kwanza katika ngazi zote: rushwa, ufisadi, ndoa za kibabaishaji (zavunjika baada ya wiki tu), ubinafsi, ujinga, wizi, kuzaliana bila utaratibu na maadili, utapeli, magonjwa, ulimbukeni, nk.
 
nimesoma nusu tu yote hayo umetype wewe ama umempa secretary wako???
hata mie michango imenichosha sana


ahahahah FL1, hata mie nimesome nikachoka nikascroll duhhhh nashangaa alikuwa na ghadhabu sana huyu, mpaka kufikia kuandika hivyo....michango we acha tu!!! mara wengine wana vijibarua kutoka kwa chifu sijui wanataka nini...vitoto vya shule na forms za scouts ..balaaa mbele nyuma
 
Shughuli ni watu na watu wajitolee kidogo siyo bure..ila kweli michango hii imezidi na ukiendekeza bila mipango/bajeti nzuri unamaliza salary yote inaishia kuchangia.
Ukichangisha na wewe unachangishwa!
 
Akili kumkichwa kama unataka kununua sifa na utighter kwenye michango ya harusi
 
Kama hutaki michango basi punguza 'social network' yako. Na wala usimchangishe wala kumkopa mtu pesa. Pia vile vile uhakikishe una-delink na ndugu zako wote.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom