YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 51,995
Wabunge wengine wamekuwa wakisimama kuuliza maswali na kuchangia hoja ambazo zingine hazina ushahidi zikiwa zimejaa uzushi ambao mara ingine imepelekea wabunge kuambiwa wathibitishe,wafute kauli nk
Kuondoa huo utata na kuokoa muda wabunge wote wanaotaka kuchangia hoja au swali waviandike na kuviwakilisha mapema kwa spika siku moja au mbili kabla ili vipitiwe kwanza kabla ya msoma hoja au mchango wa mbunge husika kusoma mbele ya bunge hoja na maswali mbali mbali yaliyoletwa na wabunge.
Sioni haja ya mbunge kusimama yeye kuongea au kuuliza swali akiandika inatosha.Wengine kitu kidogo tu akisimama ataongeea wee hadi basi atamshukuru mkewe ,mumewe, mwanawe wa mwisho aliyezaliwa salama juzi kwa kutanguliza miguu badala ya kichwa nk Upotezaji muda tu.Waandike michango yao na maswali yasomwe yajibiwe yaendelee mambo mengine.