Bize Bize
Member
- Nov 27, 2012
- 29
- 9
Wadau msaada kwenye tuta!!
Nikiwa mfanyakazi wa kampuni binafsi nilikuwa nachangia na kuchangiwa ktk mifuko ya kijamii. Na nikiwa mfanyakazi nilikopa kwa mwajiri wangu. Katika namna nisiyoifikiri mwajiri kasitisha ajira yangu.
Natamani kuchukua michango yangu inifae kipindi hiki kigumu, wakati nimemshitaki mwajiri mahakamani. Na ikizingatiwa kuwa makesi haya yanachukuaga muda sana kuisha....
Sheria zinasemaje hapa!!