Halafu ni kwa bahati mbaya sana kwenye hayo makundi ya whassap kuna tatizo la “ majority ignorance “
Yani watu wamekariri mambo sijawahi onaga.
Mfano kuna mtu amefiwa au kafa eti wanalazimisha kupanga kiwango fulani cha mchango kuanzia mfano 50,000/- na kuendelea [emoji87][emoji87][emoji87]
Ukiwauliza kwanini mnapanga hivyo hawana jibu la maana ni ushabiki usio na maana hasa.
Mimi huwa nawauliza kwani maana ya neno rambi rambi ni nini hasa?
Kama siyo mchango wa hiyari wa pole kwa kadri mtu alivyojaliwa?
Kwanini mtake kuweka viwango fixed?
Kila mtu kwa nyakati mbali mbali anaweza kupitia mambo kadhaa mwingine anauguliwa, anajenga, ana mikopo n.k
Kwanini ushabikie michango ya lazima.?
Wapumbavu sana!
Sent using
Jamii Forums mobile app