Misterdennis
JF-Expert Member
- Jun 4, 2007
- 1,741
- 482
Kutojiamini tu hawana lolote pia kuna wanachama wao wanaitegemea club kujiingizia pesa badala ya club kuwategemea wao na mwisho wa siku wanakuwa wanapenda kuwa nyuma ya wagombea ambao kwa namna moja ama nyingine wanakipato na ambao wengi wao wanachukua fomu ya uongozi ili kujijenga kisiasa though wanajifanya wana michezo ila wanatumia kama daraja la kufika kule wanakotaka. It seem like Wambura ana vimsimamo vyake flani flani kama alivyotamka jana azim Dewji kwamba Wambura hapendi watu wenye fedha kwenye club (kwa kauli ya Dewji nikajifunza huenda Wambura anachotaka ni kila mwanachama wa timu kuwa sehemu ya timu kwani kwa idadi ya wanachama wa simba ni mtaji tosha wa kuweza kuingiza kiwango kikubwa cha fedha badala ya kutegemea milion 30 za hao matajiri alafu wengi wao kila mtu anasajiri mchezaji kwa matakwa yake)huwa nashindwa kuelewa kwa nini watu wengine wanatumia visababu visivyo na msingi kuwazuia wenzao wasigombee nafasi za uongozi!
Ni ubinafsi wa hali ya juu sana...!
Mfano mzuri ni pale walipokuwa wamemwekea mizengwe Malinzi wa TFF, na sasa Wambura huko simba
Ndio inatakiwa hivi haki unaidai mpaka mwisho maana kesi unaposhinda ndio inakuwa tafsiri sahihi ya kesi yako na mwisho wa siku wale wenye figisufigisu kwenye michezo kwa kutumia vigezo kama hivi walivyomwekea Wambura siku nyingine wanajipanga kwa menginejamaa mbishi sana duhh....
sawa mikael wambura
Wamuache tu jamani maana amehangaika sana huyu baba na hizi chaguzi za soka!!
Kutojiamini tu hawana lolote pia kuna wanachama wao wanaitegemea club kujiingizia pesa badala ya club kuwategemea wao na mwisho wa siku wanakuwa wanapenda kuwa nyuma ya wagombea ambao kwa namna moja ama nyingine wanakipato na ambao wengi wao wanachukua fomu ya uongozi ili kujijenga kisiasa though wanajifanya wana michezo ila wanatumia kama daraja la kufika kule wanakotaka. It seem like Wambura ana vimsimamo vyake flani flani kama alivyotamka jana azim Dewji kwamba Wambura hapendi watu wenye fedha kwenye club (kwa kauli ya Dewji nikajifunza huenda Wambura anachotaka ni kila mwanachama wa timu kuwa sehemu ya timu kwani kwa idadi ya wanachama wa simba ni mtaji tosha wa kuweza kuingiza kiwango kikubwa cha fedha badala ya kutegemea milion 30 za hao matajiri alafu wengi wao kila mtu anasajiri mchezaji kwa matakwa yake)
Hivi huyo mh. Ndumba la huyo(ndumbaro) ikatokea wambura kapitisha na tff then akapitishwa na wanachama kuwa kiongozi wa simba atajisikiaje.....!?
kila siku anagombea yeye tu,hakuna jipya hapo alishawahi kuwa madarakani hakuleta jipya,amesahau nini arudi tena au hazijamtosha?
wako wapi waliokuwa wanamfitini Malinzi