Michael Jackson - Earth Song | Matumizi ya Jukwaa

Michael Jackson - Earth Song | Matumizi ya Jukwaa

Mwl.RCT

Platinum Member
Joined
Apr 5, 2009
Posts
15,689
Reaction score
22,555
  • Tazama huu wimbo !
  • Kisha comment kuhusiana na matumizi ya jukwaa kwa wasanii wa nje , ukilinganisha na wasanii wetu hapa nyumbani.
  • Kwenye huu wimbo kuna mengi ya kujifunza kuhusiana na matumizi ya jukwaa !
 
Last edited by a moderator:
hili jembe ndo favorite artist of all the time kwangu.show zake zote zlikuwa baab kubwa.still i'll miss 'this is it' ambayo ndo ingekuwa concert yake ya mwisho,naamin angefanya mambo above 100%..rest in peace MJ the king of pop
 
hiyo nadhan ni akiperfom huko munich.i really like earth song live perfomance akiwa seoul korea with craziest fan.real miss u MJ
 
Daah halaf eti na huku Bongo kuna watu wanajiita Wanamuziki???

Sasa hao kina Michael Jackson wajiite nani?????
 
Looo,yaaani ukiambiwa kiingilio eti ni million tano kwa viti vya kawaida wala hushtuki,unaona kama unawaibia
 
Sina neno maana huyu jamaa naona alikiwa anafanya vitu kwa asilimia 100 wala haachi kitu.
 
  • Tazama huu wimbo !
  • Kisha comment kuhusiana na matumizi ya jukwaa kwa wasanii wa nje , ukilinganisha na wasanii wetu hapa nyumbani.
  • Kwenye huu wimbo kuna mengi ya kujifunza kuhusiana na matumizi ya jukwaa !

Mh iko poa
 
Back
Top Bottom