Cantalisia
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 5,221
- 2,930
Heeeeee heeee!babu unalo ilo!Hili lisredi limetuzalilisha sana sisi vichwa vya familia.
Kulaaleki huyu aliye hack password ya bishanga............nikimkamaaata!
Ngoja niwahi kuangalia mpira.
Hili lisredi limetuzalilisha sana sisi vichwa vya familia.
Kulaaleki huyu aliye hack password ya bishanga............nikimkamaaata!
Ngoja niwahi kuangalia mpira.
kakwambia nani? mimi ndo mme mkamilika, sina doa hata moja! muulize memba flan humu mmu atakwambia.
kinababa humu leo naona kisu kimegusa mfupa....looks like watu wamekuwa defensive ile mbaya,du!Bishanga banaa......ila hiyo namba tatu (3) naona inakuhusu sana
mmmmmhhh haya........wahaya wanasema 'toina kamogo'Wapo wengi na wapo ambao ni wanaume na wanajua nini maana ya ndoa zao na wanaheshimu ndoa zao
Ni baba wa familia na mume kwa mke wake
Wanajua muda wa kukaa na familia na muda wa kukaa na marafiki
Muda wa kukaa na watoto na uhuru wanaopaswa kupewa watoto
Wanaoheshimu hisia za wake zao na wanaoheshimu pia hisia za watoto wao na wanaojua watoto wao au wake zao kwa muda huo wanataka nini na wanahitaji nini kutoka kwa baba au mume
yupo kweli duniani humu? mi naona huyo hajazaliwa.
Ahaaa wapi nyie hamjui tu Bishanga kaamua kutoa siri zake ila kwa staili nyingine.buraza from another maza habari ya utukufu wako bana
hii habari kama inakuhusu wewe
Namba 9 nimeipenda, kumbe mwaturuhusu tucheze mechi za nje ila tusizae huko eeh? Na tukizaa tusizae zaidi ya mmoja! Hapa ndio ninapowapendea wanawake hamna wivu kabisa!!!
mmmmmhhh haya........wahaya wanasema 'toina kamogo'
ni Kloro kaandaa huu uzi ,akaniletea kwa e mail,nikakopi na kupest,mtafute mmalizane nayeHili lisredi limetuzalilisha sana sisi vichwa vya familia.
Kulaaleki huyu aliye hack password ya bishanga............nikimkamaaata!
Ngoja niwahi kuangalia mpira.
Jamani nirudishieni ki baton changu cha 'like' nimrushie Mr Rocky!
Chauro.....thanks Bishanga Hii kichwa ili itulie leo lazima nitafute fire brigade la sivyo vifaa vya mwili vinaweza vikaachana.
Ahaaa wapi nyie hamjui tu Bishanga kaamua kutoa siri zake ila kwa staili nyingine.
Umeonae,bora umuitie magari ya faya kazaa!thanks Bishanga Hii kichwa ili itulie leo lazima nitafute fire brigade la sivyo vifaa vya mwili vinaweza vikaachana.
Kwani siri basi Aspirin? nenda kwenye mkusanyiko wowote wa kina mama,iwe saluni, kitchen party au shughuli yao yoyote,utayasikia haya haya.We acha tu.....
Huyu mtu ameamua kuweka siri zetu muhimu hazarani.......
Kulaaleki wallah!
Hebu fikiria:
acheni hizo!
.......itaendelea....leo wababa wa humu ndani nakula nao sahani moja!