Miamala ya fedha za kigeni Tanzania kwa njia ya Kadi za simu (Foreign Exchange Mobile Transaction)

Masalu Jacob

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2017
Posts
1,339
Reaction score
1,493
Habari Tanzania !

Naomba kuwapa changamoto Bank of Tanzania (BOT), Commercial Banks; Taasisi zote ndogo za fedha na Mitandao ya simu inayofanya miamala ya kifedha nchini.

Kwanini pasiwepo na huduma ya kufanya miamala ya fedha za kigeni kwa njia ya mtandao ya simu, ili iwe fursa kwa Mtu au Watu wenye nia ya kuwekeza Fedha za kigeni ndani ya simu/ Kadi zao.

Maana kwa sasa kuna huduma nyingi sana kuhusu fedha za kigeni kwa Commercial Banks; ila hizi taasisi ndogo za kifedha na Mitandao ya simu wao hawana hii huduma kwa nini?

Pia, uwepo wa hii huduma itachochea ukuaji wa kiuchumi wa moja kwa moja kwa Vijana, Wafanyabiashara na wale wote wenye nia ya Uwekezaji hapa nchini.

NB

Hakutakuwa na athari zozote zile za kiuchumi kwa kutumia hii njia hakika.

Karibu.
 
Hakutakuwa na athari zozote zile za kiuchumi kwa kutumia hii njia hakika.

elezea kidogo kwa vip hakutakuwa na athari?
 
Hakutakuwa na athari zozote zile za kiuchumi kwa kutumia hii njia hakika.

elezea kidogo kwa vip hakutakuwa na athari?
Sababu:

1. Exchange rate itatumika ile ile ya Kibenki; hapa hakuna matata.
2. Pia Mawakala watakao fanya hii kazi kuhusu Fedha za Kigeni watapewa Leseni za Fedha za Kigeni.

Uchumi utapaa.
 
Sababu:

1. Exchange rate itatumika ile ile ya Kibenki; hapa hakuna matata.
2. Pia Mawakala watakao fanya hii kazi kuhusu Fedha za Kigeni watapewa Leseni za Fedha za Kigeni.

Uchumi utapaa.
Rates ni bora zikatumika za kwenye maduka ya kubadilisha fedha, hii itakuwa nzuri kwetu ambao ndugu zetu huko wanatutegemea.
Inatakiwa kuandaliwe policy iliyonyooka juu ya hilo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…