Miamala ya fedha kwa maombi ya vyuo vikuu nchini

Miamala ya fedha kwa maombi ya vyuo vikuu nchini

sylivester makongo

JF-Expert Member
Joined
Jun 1, 2017
Posts
215
Reaction score
82
Natumai mu wazima wanajf, kuna mtu katuma application za chuo kikuu UDOM ila muamala wao walouweka ni wa TIGO PESA ila yy katumia M-PESA kutuma hiyo pesa, cha ajabu akikamilisha TRANSACTIONS akituma anaambiwa aweke pesa na pesa kashaweka, Je, ni muda gan hiyo pesa itawafikia au yy kuipata tena tena?? [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom