Miaka zaidi ya 25 ya upinzani mikoa tisa hakuna mbunge wa upinzani, CCM ni ile ile

Nicodemas Tambo Mwikozi

JF-Expert Member
Aug 13, 2016
663
1,047
*MIKOA 9 ISIYOKUWA NA WABUNGE WA UPINZANI WAKUCHAGULIWA TANZANIA*

*DODOMA*
Chemba – Juma Nkamia (CCM)
Bahi – Omar Ahmed Badwel (CCM)
Kibakwe – George Simbachawene (CCM)
Mpwapwa –George Malima Lubeleje (CCM)
Mtera – Livingstone Lusinde Kibajaji (CCM)
Chilonwa – Joel Mwaka (CCM)
Dodoma Mjini – Antony Peter Mavunde (CCM)
Kongwa – Job Ndugai (CCM)
Kondoa Mjini – Sannda Edwin (CCM)
Kondoa – Dkt. Ashatu Kijaji (CCM)

2. *KATAVI*
Mpanda Mjini- Sebastian Simon Kapufi (CCM)
Mpanda Vijijini- Selemani Moshi Kakoso (CCM)
Katavi- Eng. Isack Aloyce Kamwelwe (CCM)

3. *GEITA*
Geita Mjini- Ndg. Costantine John Kanyansu (CCM)
Geita Vijijini- Joseph Kasheku (CCM)
Busanda-: Lolensia Masele Bukwimba (CCM)
Mbogwe- Augustino Masele (CCM)
Bukombe- Dotto Mashaka Biteko (CCM)
Chato- Dkt. Medard Matogolo Kalemani (CCM)

4. *NJOMBE*
Lupembe: Joram Ismael Hongoli (CCM)
Njombe Mjini: Edward Mwalongo (CCM)
Makambako: Deo Kasenyenda Sanga (CCM)
Wanging’ombe: Eng. Gerson Hosea Lwenge (CCM)
Ludewa: Deogratias Francis Ngalawa (CCM)
Makete: Prof. Adamson Sigalla Norman (CCM)

5. *PWANI*
Chalinze – Ridhwani Kikwete (CCM)
Bagamoyo – Dkt. Shukuru Kawambwa (CCM)
Kibaha Mjini – Silvestry Fransis Koka (CCM
Kibaha Vijijini – Hamoud Jumaa (CCM)
Kisarawe – Selemani Said Jafo (CCM)
Mafia – Mbaraka Kitwana Dau (CCM)
Mkuranga – Abdallah Ulega (CCM)
Rufiji – Mohamed Mchengerwa (CCM)
Kibiti – Ally Seif Ungando (CCM)

6. *RUVUMA*
Songea Mjini – Leonidas Tutubert Gama (CCM)
Nyasa – Eng. Stella Martin Manyanya
Tunduru Kaskazini – Eng. Ramo Matala Makani (CCM)
Tunduru Kusini – Daimu Iddi Mpakate (CCM)
Peramiho – Jenista Mhagama (CCM)
Namtumbo – Eng. Edwin Amandus Ngonyani (CMM)
Madaba – Joseph Kizito Mhagama (CCM)
Mbinga Mjini – Sixtus Mapunda (CCM)
Mbinga Vijijini – Martin Msuha (CCM)

7. *RUKWA*
SUMBAWANGA MJINI – Aeshi Hilaly (CCM)
Nkansi Kaskazini – Ally Mohamedi Keissy (CCM)
Nkansi Kusini – Desderius Mipata (CCM)
Kwela – Ignas Aloyce Malocha (CCM)
Kalambo – Josephat Kandege (CCM)

8. *SIMIYU*
Bariadi Magharibi: Andrew John Chenge( *MTEMI CHENGE* (CCM)
Bariadi Mashariki (Itilima): Njalu Daudi Silanga(NDS) (CCM)
Meatu:Salum Khamis Salumu (CCM)
Kisesa: Luhanga Joelson Mpina (CCM)
Busega:Dkt Raphael Chegeni (CCM)
Maswa Mashariki: Stanslaus Nyongo (CCM)
Maswa Magharibi: Mashimba Ndaki (CCM)

9. *SHINYANGA*
Shinyanga Mjini
– Steven Masele (CCM)
Solwa – Ahmed Ally Salum (CCM)
Kishapu – Suleiman Nchambi (CCM)
Msalala – Ezekiel Magolyo Maige (CCM)
Ushetu – Elias John Kwandikwa (CCM)
Kahama Mjini – Jumanne Kishimba (CCM)

*Acha jembe Na nyundo vifanye kazi*.

*ILANI NI MKATABA KATI YA MTAWALA NA MTAWALIWA HIVYO BASI WABUNGE WETU POPOTE PALE WALIPO NA WANACCM WOTE TUTEKELEZE ILANI YA CHAMA CHA MAPINDUZI KWA NGUVU ZOTE*

_*CCM DAIMA*_
_*UMOJA NI USHINDI*_
_*HAPA KAZI TU*_
 
ndo mikoa ambayo ipo nyuma kimaendeleo na wataendelea kuwa nyuma
 
Na hili ni jambo la kujivunia? Hii inaonyesha kuwa watanzania hawana mawazo mbadala juu ya jambo fulani, sisemi kuwa wapinzani wapo sahihi lakini ni bora kujaribu upande mwingine once in a while, Miaka 60 nya uhuru Tanzania na potential yote hii hiyo mikoa uliyoitaja wananchi wake wengi inakunywa maji na mifugo, umeme wanausikia kwenye redio, hiyo haitoshi na ukame unaoikumba dunia miaka hii watu kama hao nadhani watakuwa na hali mbaya sana, maana akili zao hazifikirii mbadala mwingine
 
hizo takwimu watanzania wanaoingia jf wanazijua zote.
waambie mapya ili tusonge mbele......
 
Hiyo mikoa imeendelea kama Dubai.Yaani mwenyewe natamani nihamie huko.Kidumu Chama chetu.
 
Aisee....! kazi kweli kweli... Na ndio mikoa inaongoza kwa uchawi, sema kuna kuzidiana kati ya ntu na ntu...!
 
Nila ya elimu hakuna upinzani.
Nila ya shibe hakuna upanzani
Bila ya uelewa hakuna upinzani
Kwenye ujinga hakuna upinzani
Sio ajabu wengine wajua rais bado nyerere
 
Ukiangalia hio mikoa ndo utajua kwa nini ccm wana wabunge wengi.
Mikoa yenye watu wa chache lakini ina uttiri ya wabunge. Kwa sababu inajulikana huko bado elimu hakuna hivyo wote ccm tu. Dar es wenye idadi kubwa zaidi ya watu ina wabunge wachache kuliko mikoa mengine.
Hakuna uwiano kati ya watu million 4 na watu milioni moja.
Haya yanafanywa makusudi tu.
Kwa dar , city centre na upanga na kariakoo walistahiki kabisa mbunge wao....lakini hakuna ...na tanga, kilimanjaro na arusha
 
*MIKOA 9 ISIYOKUWA NA WABUNGE WA UPINZANI WAKUCHAGULIWA TANZANIA*

*DODOMA*
Chemba – Juma Nkamia (CCM)
Bahi – Omar Ahmed Badwel (CCM)
Kibakwe – George Simbachawene (CCM)
Mpwapwa –George Malima Lubeleje (CCM)
Mtera – Livingstone Lusinde Kibajaji (CCM)
Chilonwa – Joel Mwaka (CCM)
Dodoma Mjini – Antony Peter Mavunde (CCM)
Kongwa – Job Ndugai (CCM)
Kondoa Mjini – Sannda Edwin (CCM)
Kondoa – Dkt. Ashatu Kijaji (CCM)

2. *KATAVI*
Mpanda Mjini- Sebastian Simon Kapufi (CCM)
Mpanda Vijijini- Selemani Moshi Kakoso (CCM)
Katavi- Eng. Isack Aloyce Kamwelwe (CCM)

3. *GEITA*
Geita Mjini- Ndg. Costantine John Kanyansu (CCM)
Geita Vijijini- Joseph Kasheku (CCM)
Busanda-: Lolensia Masele Bukwimba (CCM)
Mbogwe- Augustino Masele (CCM)
Bukombe- Dotto Mashaka Biteko (CCM)
Chato- Dkt. Medard Matogolo Kalemani (CCM)

4. *NJOMBE*
Lupembe: Joram Ismael Hongoli (CCM)
Njombe Mjini: Edward Mwalongo (CCM)
Makambako: Deo Kasenyenda Sanga (CCM)
Wanging’ombe: Eng. Gerson Hosea Lwenge (CCM)
Ludewa: Deogratias Francis Ngalawa (CCM)
Makete: Prof. Adamson Sigalla Norman (CCM)

5. *PWANI*
Chalinze – Ridhwani Kikwete (CCM)
Bagamoyo – Dkt. Shukuru Kawambwa (CCM)
Kibaha Mjini – Silvestry Fransis Koka (CCM
Kibaha Vijijini – Hamoud Jumaa (CCM)
Kisarawe – Selemani Said Jafo (CCM)
Mafia – Mbaraka Kitwana Dau (CCM)
Mkuranga – Abdallah Ulega (CCM)
Rufiji – Mohamed Mchengerwa (CCM)
Kibiti – Ally Seif Ungando (CCM)

6. *RUVUMA*
Songea Mjini – Leonidas Tutubert Gama (CCM)
Nyasa – Eng. Stella Martin Manyanya
Tunduru Kaskazini – Eng. Ramo Matala Makani (CCM)
Tunduru Kusini – Daimu Iddi Mpakate (CCM)
Peramiho – Jenista Mhagama (CCM)
Namtumbo – Eng. Edwin Amandus Ngonyani (CMM)
Madaba – Joseph Kizito Mhagama (CCM)
Mbinga Mjini – Sixtus Mapunda (CCM)
Mbinga Vijijini – Martin Msuha (CCM)

7. *RUKWA*
SUMBAWANGA MJINI – Aeshi Hilaly (CCM)
Nkansi Kaskazini – Ally Mohamedi Keissy (CCM)
Nkansi Kusini – Desderius Mipata (CCM)
Kwela – Ignas Aloyce Malocha (CCM)
Kalambo – Josephat Kandege (CCM)

8. *SIMIYU*
Bariadi Magharibi: Andrew John Chenge( *MTEMI CHENGE* (CCM)
Bariadi Mashariki (Itilima): Njalu Daudi Silanga(NDS) (CCM)
Meatu:Salum Khamis Salumu (CCM)
Kisesa: Luhanga Joelson Mpina (CCM)
Busega:Dkt Raphael Chegeni (CCM)
Maswa Mashariki: Stanslaus Nyongo (CCM)
Maswa Magharibi: Mashimba Ndaki (CCM)

9. *SHINYANGA*
Shinyanga Mjini
– Steven Masele (CCM)
Solwa – Ahmed Ally Salum (CCM)
Kishapu – Suleiman Nchambi (CCM)
Msalala – Ezekiel Magolyo Maige (CCM)
Ushetu – Elias John Kwandikwa (CCM)
Kahama Mjini – Jumanne Kishimba (CCM)

*Acha jembe Na nyundo vifanye kazi*.

*ILANI NI MKATABA KATI YA MTAWALA NA MTAWALIWA HIVYO BASI WABUNGE WETU POPOTE PALE WALIPO NA WANACCM WOTE TUTEKELEZE ILANI YA CHAMA CHA MAPINDUZI KWA NGUVU ZOTE*

_*CCM DAIMA*_
_*UMOJA NI USHINDI*_
_*HAPA KAZI TU*_
sasa wewe ni great thinker kweli? kazi gani mnayoifanya na hicho chama chako? na mmewasaidia nini wananchi wa mikoa hiyo kwa kuwa chama chenu ndicho kinachowaongoza? je mmepeleka maendleo na huduma bora za kijamii? kweli hapo hakuna cha kujivunia embu ona aibu mkuu miaka 50 yote mmeongoza hayo majimbo na mikoa lakini hamna cha maana mlichokipeleka huko,,,....angalia mikoa kama Mbeya na Ausha Dar ambako wapinzani wanaongoza chachu ya maendleo na faida za wabunge hao.embu acha kujipongeza na kushabikia ujinga....shame on you.
 
Hapo mwanzo mliviita vyama vya msimu, sasa vimeanza kufanya kazi muda wote na kuwa tishio kwenu mkaamua kuvi wekea gavana
 
Tatizo lipo hapo, ccm hufocus kwenye ushindi by any maean na huwa wana upata shida ni kwamba hawajui wafanye nini baada ya kushinda.
 
Back
Top Bottom