Miaka yote 15+ mke wangu hajui kama ninamiliki silaha!

Chai sijanywa kutokana na kushangazwa na haya!

Nina miaka zaidi ya 10 ninamiliki silaha ya moto kisheria, na ninaihifadhi chumbani.

Mke wangu hafahamu hata kuhisi kwa muda wote huo.
Siyo mke wangu tu, hata watoto wangu hawafahamu kabisa.

Nilifanya haya ili kuondoa hofu ambayo inaweza kuwepo ikiwa watoto wakifahamu nina silaha ya moto, hasa ninaoishi nao.

Pia nilifanya haya kuondoa hofu kutoka kwa mke wangu, kwamba nina silaha ya moto.

Kisa cha mke aliyefikiria kum 'shoot' mumewe kwa kutumia silaha ya mumewe baada ya kukosana (hapa hapa Tanzania), kiligongelea nyundo kabisa mimi kuendelea kuificha silaha yangu.

Hivi kuna faida gani kwa kumuonesha onesha mkeo au watoto wako silaha yako ya moto?

Mimi nimetoa sababu za kuficha silaha yangu kwa miaka 10+. Je, wewe una sababu yoyote ya msingi ya kuining'iniza hiyo silaha yako kama vidole vyako au funguo yako ya gari?

Kwa nini unai expose kwa mke wako na kuwatishia watu bar?

Sifahamu faida za kuionesha onesha hasa kwa mke na watoto. Tafadhali, naomba nifahamishwe ikibidi, ili haya mawazo yangu yanayoniambia kuwa ni 'washamba' tu 'and nothing more' yatoke.

Nikajilazimishe kunywa chai sasa!

NB

Maneno ndani ya funga semi si rasmi, au ni ya kiingereza.
Tena haitakiwi hats kidogo kujua maana hiyi ni zaidi ya hirizi yako mida wote ilinde
 
Umemficha mkeo miaka kumi ila umekuja kututangazia sisi humu JF 😂😂😂, ila nyiee watu.
CFA78634-373D-43A7-8F81-4178A35C8973.jpeg
 
Ninaimiliki huu mwaka wa 12 na mke pamoja na watoto wanaju.
Binafsi hua ninawaonesha hasa wakati naisafisha kabla ya kuipeleka kwenye ghala la kituo cha polisi kila ninapo rejea home toka safarini.
Sijawahi kuishi na chuma ndani tangu nilipo baini watoto wamekua wakubwa na kisha kuoa, naichukua sikuzote kila ninapo ondoka nyumbani kuelekea kwenye safari zangu

Sawa. Nzuri kwa upande wako.
 
Ifiche hivyo hivyo maana siku ukimtibua na anajua ilipo hakawii kukufyatua nayo...
 
Chai sijanywa kutokana na kushangazwa na haya!

Nina miaka zaidi ya 10 ninamiliki silaha ya moto kisheria, na ninaihifadhi chumbani.

Mke wangu hafahamu hata kuhisi kwa muda wote huo.
Siyo mke wangu tu, hata watoto wangu hawafahamu kabisa.

Nilifanya haya ili kuondoa hofu ambayo inaweza kuwepo ikiwa watoto wakifahamu nina silaha ya moto, hasa ninaoishi nao.

Pia nilifanya haya kuondoa hofu kutoka kwa mke wangu, kwamba nina silaha ya moto.

Kisa cha mke aliyefikiria kum 'shoot' mumewe kwa kutumia silaha ya mumewe baada ya kukosana (hapa hapa Tanzania), kiligongelea nyundo kabisa mimi kuendelea kuificha silaha yangu.

Hivi kuna faida gani kwa kumuonesha onesha mkeo au watoto wako silaha yako ya moto?

Mimi nimetoa sababu za kuficha silaha yangu kwa miaka 10+. Je, wewe una sababu yoyote ya msingi ya kuining'iniza hiyo silaha yako kama vidole vyako au funguo yako ya gari?

Kwa nini unai expose kwa mke wako na kuwatishia watu bar?

Sifahamu faida za kuionesha onesha hasa kwa mke na watoto. Tafadhali, naomba nifahamishwe ikibidi, ili haya mawazo yangu yanayoniambia kuwa ni 'washamba' tu 'and nothing more' yatoke.

Nikajilazimishe kunywa chai sasa!

NB

Maneno ndani ya funga semi si rasmi, au ni ya kiingereza.
Hataki kuwa sehemu ya jambazi 😁😁
 
mi sijui naskia hata mkigongewa wake mnawapiga risasi na nyie mnajipiga..[emoji23][emoji23][emoji23]
Huo udhaifu sasa, kwa nini na wewe ujipige? Udhaifu huo...! Hata tu kumpiga mkeo hutakiwi. Wa kuhukumu ni mmoja tu, Mungu.
 
Back
Top Bottom