Miaka yote 15+ mke wangu hajui kama ninamiliki silaha!

Miaka yote 15+ mke wangu hajui kama ninamiliki silaha!

YaniTz tuna vituko baba mzima anakuja kutangaza ka bastola ka lisasi ya 5mm, kuona kwamba kuficha mkewe ni jambo la ajabu wakati ndani kuna silaha zito kuliko ako kabastola kakukatia vibali, akavuki 5om length shooti, wakati huyu mke anamiliki panga kali shoka jambia nk. Na kibaya zaidi ndo anakupikia chakula anaweza kufanya chochote na aka kumaliza bila we kujua, watu wanasindokiza magari ma Lyland ya ammunition kutoka mkoa kuenda mkoa na wife anapewa taarifa mapema, ni ulimbukeni na ushamba wa Tanzania ulaya tunamiliki sub-machine na mtoto anajua inatunzwa wapi incase.

Kwanza huna ushahidi wowote kuwa ananipikia chakula. Huna ushahidi kuwa ana panga. Huna ushahidi kuwa spec's ulizotaja ni za silaha yangu.

Anyway, miye nimeona ni fahari mno kuishi hivyo, hayo ni maisha yako WEWE na MKEO. Na mimi nakuona bonge la mshamba ujue! So lets agree to disagree.
 
Sikuwahi kumwambia mke wangu kama ninamilika silaha mpaka siku alipofumania risiti niliyofumania risiti niliyonunulia lisasi.
 
Mimi sijawahi kulea mtoto asiye wangu. Wote niliozaa naye ni wangu, kwa ushahidi wa scientific DNA test na traditional DNA test. Nashukuru kwa hili.!

Pole kama umelea mtoto/watoto wasio wako. Ndiyo maisha hayo!
Mbona sijasema ni wewe, au ndo mambo ya "Mimi ndio baba humu ndani" usipowakumbusha wanasahau.
 
Yeah! Siyo msiri wangu kwa 100%, ila kwa 90% ni msiri wangu.
90 ni nyingi sana huyo ni msiri wako kwa asilimia 10. Maana watu wanaweza kukutaitisha hiyo silaha ikakuokoa kupitia mkeo.
Unaogopa atakuua si ndio ila chakula anakuandalia unafakamia, unaonaje uwe unajipikia pia maana anaezakukuwekea sumu kwenye chakula, kwenye nguo za kuvaa anazokufulia kwenye nyonyo unazonyonya kila ukitaka shoo
 
90 ni nyingi sana huyo ni msiri wako kwa asilimia 10. Maana watu wanaweza kukutaitisha hiyo silaha ikakuokoa kupitia mkeo.
Unaogopa atakuua si ndio ila chakula anakuandalia unafakamia, unaonaje uwe unajipikia pia maana anaezakukuwekea sumu kwenye chakula, kwenye nguo za kuvaa anazokufulia kwenye nyonyo unazonyonya kila ukitaka shoo
Unaongea mambo ya kufikirika. Nani alikuambia chakula anapika yeye, umethibitisha vipi? Umethibitisha vipi huwa nanyonya nyonyo?
Umethibitisha vipi kuwa kuna dawa zenye uwezo wa kuua ukiwekewa kwenye nguo? Una uthibitisho upi kuwa zinapatikana Tanzania?
 
Chai sijanywa kutokana na kushangazwa na haya!

Nina miaka zaidi ya 10 ninamiliki silaha ya moto kisheria, na ninaihifadhi chumbani.

Mke wangu hafahamu hata kuhisi kwa muda wote huo.
Siyo mke wangu tu, hata watoto wangu hawafahamu kabisa.

Nilifanya haya ili kuondoa hofu ambayo inaweza kuwepo ikiwa watoto wakifahamu nina silaha ya moto, hasa ninaoishi nao.

Pia nilifanya haya kuondoa hofu kutoka kwa mke wangu, kwamba nina silaha ya moto.

Kisa cha mke aliyefikiria kum 'shoot' mumewe kwa kutumia silaha ya mumewe baada ya kukosana (hapa hapa Tanzania), kiligongelea nyundo kabisa mimi kuendelea kuificha silaha yangu.

Hivi kuna faida gani kwa kumuonesha onesha mkeo au watoto wako silaha yako ya moto?

Mimi nimetoa sababu za kuficha silaha yangu kwa miaka 10+. Je, wewe una sababu yoyote ya msingi ya kuining'iniza hiyo silaha yako kama vidole vyako au funguo yako ya gari?

Kwa nini unai expose kwa mke wako na kuwatishia watu bar?

Sifahamu faida za kuionesha onesha hasa kwa mke na watoto. Tafadhali, naomba nifahamishwe ikibidi, ili haya mawazo yangu yanayoniambia kuwa ni 'washamba' tu 'and nothing more' yatoke.

Nikajilazimishe kunywa chai sasa!

NB

Maneno ndani ya funga semi si rasmi, au ni ya kiingereza.
Mi kabla cjaoa anajua ninayo.
 
Kweli tumeona hii "CHAI" yako murua.
Haya na sisi tujilazimishe kuinywa pamoja na wewe.
Kila kitu mnasema Chai...tokeni mpate exposure nje ya box jamani...umasikini mbaya sana ...fu...you shida [emoji1745]
 
Hicho kipisi cha nondo huko uvunguni ndio silaha ya kuja kutusumbua hapa
 
Back
Top Bottom