Miaka yangu 7 ndani ya JF, najivunia haya...

Miaka yangu 7 ndani ya JF, najivunia haya...

Manara tena[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ungejua ninavyoipenda yanga usinge sema hivyo.
Hebu tupe mtazamo wako kidogo shabiki kindakindaki wa yanga vp huko kimataifa?
 
Akhsante kwa mrejesho moniccca

Endelea kufurahia mijadala na wadau wengine wa JF.

Akhsante
 
Ulininywea Hennessy zangu wewe, sikusahau, na mbususu ukunipa ukanifanya babu jingaaa.
 
Nyiee kumbe umu mna wanwake kweli na hamsemiii Id zote za kike sijawahi kuziamini kama ni wanawake kweli 😂
 
Tarehe 15. Nov. Nitafikisha miaka Saba kamili ndani ya JF.

Ni safari ndefu na ngumu mno hasa kukabiliana na hoja za wadau wengine humu ndani.

Mbali na changamoto lakini JF imekuwa sehemu yangu ya maisha kwa sababu zifuatazo.

Nilijiunga JF nikiwa muajiriwa tu wa kawaida kabisa ambaye anafanya kazi kwaajili ya kufanya siku ziende. (Kupata mahitaji muhimu ya kuish) basic needs.

Nilikuwa single, sikuwa na mpenzi, mchumba wala hawala.

Lakini kupitia JF nimepata mume ambaye sijawahi kujuta kukutana nae.

Kupitia JF nimepata connections na michongo ya pesa ya maana mpaka kufikia hatua ya kuamua kuacha kazi.

Maisha yangu yamebadilika sana kutoka kuwa muajiriwa mpaka kuwa MUAJIRI.

Nilionekana ni mwanamke chakaram, Malaya, maji mara moja , maharage ya Mbeya lakini ukweli ni kwamba yote yale yalikuwa changamsha jukwaa tu.

Niliyobahatika kukutana nao uso kwa uso hawakuamini kama mimi ndiye Moniccca pasua kichwa wa JF.

Nilimua kujibrand vile ili kujiweka tofauti na wengine na pia kuendana na dhana ya fake I'd .

Ninaiheshimu mno JF na ntaendelea kuiheshimu kwa sababu imekuwa jukwaa muhimu sana kwa katika mafanikio yangu yote.
Mimi naomba tuu ajira madam

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu dada kila nikiona jina lake nakumbuka uzi wake wa vimoto vinaunguza. Sijawahi mchukulia serious lakini nilikuwa na mzuka nae sijui kwanini. Nimemtokea mara kadhaa ila hajibu.
 
Kumbe mnapata hadi wake& waume humu hatuambizani,anyway hongera sana!!!
 
Aisee ram njoo utie neno ...Bila wewe kusema chochote huu Uzi utakuwa umetukosea...15yrs upo humu dah...wewe Ni founder namba 2.....ngoja niishie hapa
 
  • Kicheko
Reactions: ram
Hongera sana Monica,
Pambana zaidi,Sali sana na uamke kila siku asubuhi ukiwa na afaya njema

Usisahau kurudisha kidogo either Jf au kwa jamii

Ubarikiwe na MUNGU akulinde


MP...JF Forever
 
moniccca nakumbuka sana harakati zako hapa jukwaani [emoji1787][emoji1787] sijui ulipotelea wapi .daah hongera kwa kutimiza miaka 7
Umewasahau wanawake wa JF, ukiona yupo muda mwingi JF, jua ameachika; akimpata mtu humu anapotea! Wakigombana anakuwa tena active, wakipatana anapotea tena. Ndiyo raha na maisha ya JF!
 
Back
Top Bottom