Miaka yangu 7 ndani ya JF, najivunia haya...

Miaka yangu 7 ndani ya JF, najivunia haya...

Umewasahau wanawake wa JF, ukiona yupo muda mwingi JF, jua ameachika; akimpata mtu humu anapotea! Wakigombana anakuwa tena active, wakipatana anapotea tena. Ndiyo raha na maisha ya JF!
Wewe jamaa!! 🤣🤣🤣
 
Aisee ram njoo utie neno ...Bila wewe kusema chochote huu Uzi utakuwa umetukosea...15yrs upo humu dah...wewe Ni founder namba 2.....ngoja niishie hapa
Nikianza kueleza hapa ni mengi sana coz nikiwa ndani ya JF nimepitia ups & down kibao but all in all JF ni shule, mtaa, ofisi n.k, naiombea idumu milele. JF never boring by the The Boss!
 
Nikianza kueleza hapa ni mengi sana coz nikiwa ndani ya JF nimepitia ups & down kibao but all in all JF ni shule, mtaa, ofisi n.k, naiombea idumu milele. JF never boring by the The Boss!
Unaonekana kujua mengi nikaribishe pm km hautojali
 
Back
Top Bottom