Miaka yangu 10 ndani ya JF

JF itakupatia kile unachotaka, hili ni neno la siku. Na ni la ukweli 100%

Happy new year valentina.
Sure dada yangu jf inakupa kila unachotaka, ukitaka maumivu utapata kweli ila ukitaka amani utaipata haswa tena zaidi ya amani, binafsi nina zaidi ya miaka kumi jf sijawahi kujutia , sijawahi kugombana na mtu wala sina adui wala sina rafiki ila nina amani na jf kiasi haipiti siku sijawa hapa kwa vyovyote vile.
 
Sahihi kabisa, bila rafiki bila adui zaidi watu wote kuwaona ni member wenzako inatosha.

Heri ya mwaka mpya kaka.
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚mie nimehawi date na kudo na SnowBall ,aje akanushe nilete ushahidi๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ hata @Lara1 shost angu ni shahidi๐Ÿ˜‚ nilikuwa Moto๐Ÿ”ฅhatari faya jf,hadi nilipata tuzo ya miss jf๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚lol kumbe kuna kuzeeka
Sema boss nisamehe ni utoto ulikuwa unanisumbua tu๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Aloooh jamaa alikuwa mtamu hatareeh, michepuko msije niparura,ilikuwa enzi hizo,Nina miaka 10 sijaonana naye ๐Ÿ™
 
Maxence unayemsema ni shemeji yangu live๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚waikola waituu
Iweee
Abagandiii ๐Ÿ˜‚๐Ÿ”ฅ๐Ÿ™
 
Ila Valentina Kama umecopy thread yangu ya julai 2023
Experience yangu jf 10 years ago
Samahani lakini,Ila naona kama plagiarism flani hivi ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Sasa kama sina kidonda utanitia nini dakitare [emoji1787]

๐Ÿ˜ bichwa lako

Hahah hadi sasa nishaona wataka tu dakitare akutie kitu hata kama u mzima...

Basi tufanye atakutia sindano isiyouma kuondoa muwasho wa allergy...
 

Huu mwandiko ๐Ÿค”๐Ÿค”๐Ÿค”๐Ÿ˜ท๐Ÿ˜ท๐Ÿ˜ท
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ