Miaka yangu 10 ndani ya JF

🀣🀣 utani tu mkuu
lakini akinipa siachiiii na sivungiiii mm ni kijana wa hovyoo
Umeuaaa....
Anyway unajua penzi letu lilikuwa dormant sana hapa mjengoni. Japo tulishapendana sana.

Na sijawahi kudate na yeyote zaidi yake.

Anyway kuna mtu hapa Hisia zangu zinataka kumdondokea.

huyu Vale wangu, aje aseme kama tumetengana au lah!
 
🀣🀣nawaombea mtengane nichukue jiko maan toka niko jf sijawahi kuambiwa i love you na yyte huyu ndo atakua wa kwanza ushaachwa wewe
 
🀣🀣nawaombea mtengane nichukue jiko maan toka niko jf sijawahi kuambiwa i love you na yyte huyu ndo atakua wa kwanza ushaachwa wewe
Ndio hivyo, tushazeeka aje aseme mwenyewe kama anapenda dogodogo...
πŸ˜‚ Mimi naenda zangu, na penzi nitakaloanzisha lazima aone wivu.
 
Hongera ya miaka 10 ya kuwa JF.

Nakutakia mwaka mpya 2024 wa furaha na mafanikio mengi.
 
Hongera sana mkuu
 
Nashangaa sijatajwa......

au ndo wale spelling zimekupa shida?
 
Mbona kama tumemaliza pamoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…