Miaka ya neema, miaka ya uharibifu

Miaka ya neema, miaka ya uharibifu

Hata "Usiku Uwe Mrefu Kiasi Gani, KUTAPAMBAZUKA Tu" Huu Msemo Ni Mkubwa Mno, Umebeba Hatma Za Watu Kwa Kuwapa Faraja Na Matumaini Ya Kusonga Mbele Kwa IMANI .
 
.
tapatalk_1560233065719.jpeg
 
Write your reply...
huu ndo unaitwa utu,
chakula ni kingi sana tuhimizane kula badala ya kuwekeana vijicho nani kala tonge kubwa.

big up mzeekaka
 
Maneno yake ni yale yale siku zote yamejaa encouragement, thanx bro.
Tupitiayo ni mengi sana magumu na yenye kuumiza moyo kwa wakati fulani mbaya zaidi unaweza kukata tamaa kwa kutoona mwanga mbele yako hivyo kutokujuwa ni njia ipi sahihi ya kupita, Wasiwasi, hofu ya kesho itakuwaje imekuwa ni sababu kubwa ya kubeba maumivu moyoni na kupelejea msongo wa mawazo.
Kwa magumu yote tunayopitia nguvu kubwa ipo katika kukubali na kuamini kisichoonekana, fikra zako utakavyo zikubali na kuamini kwa wakati uliopo imma ziwe hasi ama chanya ndivyo utakavyoweza kuendelea kuwepo au kutoka mahali upo.
Mshana Jr. Am on ma way to kilingeni nitadrop hapo for three days mzee.
 
karibu sana... Mawasiliano unayo nadhani
 
Back
Top Bottom