Miaka ya mbele sayari ya marsi kutengenezwa dunia

The Apollo landing on the moon in 1969 program's total cost was about $25.4 billion, about $152 billion in today's dollars.
I wonder how it would cost a landing on Mars today and who will finance such a project
ila kumbuka hizo hela zote zinabaki hapa duniani
kwahiyo ata project ikihitaji 500b miatano inawezekana
 
Hili suala likifanikiwa nadhani huko watakua wanaishi wazito makapuku watabaki na tembele la duniani huku
 
Possibly..coz just assume watu wakienda mars kupitia Yeye. halafu itokee incidence hawawezi kurudi.
Vizazi na vizazi huko vitakuwa vinaimba sifa zake ...wataanza kidogo kidogo kwa kumuita founder/pioneer kizazi kinachofuata watamuita genious kinachofata watamuita mtume/mteule kinachofata watamuita Alien kinachofata watamuita Nabii kinachofuata watamuita Mungu.

Kama ambavyo sisi tynajiuliza duniani tulikujaje Tunakosa majibu wengi wanasema tuliumbwa na Mungu basi hata wao Wakianza kujiuliza sisi tumekujaje hapa Mars wengi wataamini Mungu wao Elon Musk aliwaleta

Sent using Jamii Forums mobile app
Unadhani yatakayofanyika hayatakua kwenye kumbukumbu?

Sisi tunajiuliza maswali na kupata majibu kwa kufikiria kwakua mtu wa kwanza changamoto yake haikua kutunza kumbukumbu. Ilikua ni anawezaje ku-survive duniani kipindi hicho.

Mpaka tulipofikia hapa, kuna watu wameuza vichwa vyao sio lele mama.

Hao watakao enda kuishi huko, watakutana na kumbukumbu kwenye maandishi na record za sauti na video. Maana nyenzo zote zenye kutunza kumbukumbu zipo
 
Aisee ukute na sisi tulihamishwa kutoka sehemu fulani ujue!umeelezea vizuri kabisa
Hakuna uzuri wowote alioeleza. Dunia ya leo ina nyenzo zote za kutunza kumbukumbu. Sio kama mtu wa kwanza kutokea duniani
 
Unadhani yatakayofanyika hayatakua kwenye kumbukumbu?

Sisi tunajiuliza maswali na kupata majibu kwa kufikiria kwakua mtu wa kwanza changamoto yake haikua kutunza kumbukumbu. Ilikua ni anawezaje ku-survive duniani kipindi hicho.

Mpaka tulipofikia hapa, kuna watu wameuza vichwa vyao sio lele mama.

Hao watakao enda kuishi huko, watakutana na kumbukumbu kwenye maandishi na record za sauti na video. Maana nyenzo zote zenye kutunza kumbukumbu zipo
Unaongea hvo kama vile Mars Ni Mbeya hapo wakifika wanaanza Na kulima viazi huku wakiimba kwaya...mjomba Mars Kuna baridi Kali Na udongo usio Na rutuba Na oxygen haipo wakifika kule Maisha yatachange kusurvive itakuwa ngumu tofauti Na walivyoanticipate... hali ya hewa itawashinda watakosa chakula Na wengi watakufa..itabidi wanaosurvive waishi kama wadudu itachukua miaka mingi hata Zaidi ya 1000 mpaka kuja kuadapt au kuevolve kuendana Na Maisha ya huko...Katika mazingira kama hayo itajirudia Tu kama mtu aliyeishi 10000BC....hizo rockets zitabaki magofu wajukuu watakaozaliwa mwaka 7820 watajiuliza hizo base zilijengwaje(kama tunavyojiuliza pyramid zilijengwaje au zile Stonehenge rocks zilipangwaje)
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kwani hilo hawalijui? Mpaka wanapeleka watu maana yake watakua wameshaandaa mazingira mpaka ya kiusalama. Hawajipeleki kwa kubahatisha. Kumbuka hii ni karne ya 21.

Wenzetu wanafanya research sisi tunabishana kwa hisia. Akili zetu hizi miaka hiyo iliyopita kabla ya ndege kutengenezwa tungeambiwa kuna chombo ambacho kinaweza kutengenezwa kikapaa angani kikiwa na watu ndani alafu kikawaongoza na kuwafikisha sehemu nyingine, tungebisha tufe
 
Unasahau kila scientifical discovery Ina step moja kubwa inaitwa experimentation....Ndege ilifanyiwa majaribio Zaidi ya mara 1000 mpaka ikaja Kuwa hii Ndege tunayoijua leo ..Mars watafanya majaribio Gani?watapeleka nyani?unahisi watu wa haki Za Wanyama wataruhusu?

Ila nakuapia Kuna watu kibao waliochoka Na Maisha (ikiwemo billionea mmoja wa China Na 98% ya raia wa North Korea) wameshakubali kujitolea kama panya wa maabara wafanyiwe majaribio ya Kwanza kupelekwa Mars.
Sasa Hao ndo project itafail kwao Na duniani tutajua wote walikufa Na tutacancel huo mpango wa kwenda tena kumbe Kuna vichotara viwili vya kikorea Ke Na Me vimesurvive .

We unahisi duniani tulitokea wapi?
Sisi ni matokeo ya failed project.
 
Uta cancel wewe na nani? Kwani ni project yako?

Wenzako wanafanya kazi usiku na mchana kugundua vitu vilivyofichika na kufanya vitu visivyowezekana. Wewe upo hapa unaandika negative results za juhudi za wenzako huku ukitumia akili zao kuwasiliana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].

Tena unajiamini kabisa eti watafail...wabongo bhana
 
Blaza Kwa hizi current technologies tulizonazo tukiinlude sababu Za kijografia probability ya wao kufail ni 0.9
Hata Astrophysicist yeyote amateur anajua Hilo liko wazi .
Sasa hapo ndo facts zangu zilipolala
Usiishie kusema Tu "wabongo Bhana!"
Elezea jinsi watavyoiongezea sayari joto, oxygen Na udongo wenye Rutuba.

Au umewaachia wazungu?
Wabongo Bhana!

(PS:Labda waende mwaka 78,002 lakini wakienda mwakani kama mipango ya Musk basi ujue Musk ataenda kuitwa Mungu)
 
Umeshawahi kufika huko?
 
Unasahau kila scientifical discovery Ina step moja kubwa inaitwa experimentation....Ndege ilifanyiwa majaribio Zaidi ya mara 1000 mpaka ikaja Kuwa hii Ndege tunayoijua leo ..Mars watafanya majaribio Gani?watapeleka nyani?unahisi watu wa haki Za Wanyama wataruhusu?

Ila nakuapia Kuna watu kibao waliochoka Na Maisha (ikiwemo billionea mmoja wa China Na 98% ya raia wa North Korea) wameshakubali kujitolea kama panya wa maabara wafanyiwe majaribio ya Kwanza kupelekwa Mars.
Sasa Hao ndo project itafail kwao Na duniani tutajua wote walikufa Na tutacancel huo mpango wa kwenda tena kumbe Kuna vichotara viwili vya kikorea Ke Na Me vimesurvive .

We unahisi duniani tulitokea wapi?
Sisi ni matokeo ya failed project.
mkuu usemalo ni kweli binadamu ni failed project ya viumbe kutokea sayari ya nibiru
Miungu wetu walitutengeneza tuwe manpower kuwachimbia madini ili warecover sayari yao walivyomaliza wakakacha wakatuacha hatuna jipya hai ndio waliojenga piramid na kuanzisha acient civilization Kama Sumerian, Assyrian,misri, Babylon, Aztec,nk
Waliondooka ndio binadamu tukaanza kuwaabudu na blaa blaa za duniani sio kwetu kwetu mbinguni nk
Hata yule jamaa anayeitwa nabii Elia alikua alien 👽 ndio maana aliondoka na space shuttle ila kutokana na watu pori wa uyahudi wakasema ameenda na gari la Moto mbinguni!🚀🚀🚀
😂😂😂😂🖕
 
Back
Top Bottom