Miaka ya mbele sayari ya marsi kutengenezwa dunia

Miaka ya mbele sayari ya marsi kutengenezwa dunia

Aisee ukute na sisi tulihamishwa kutoka sehemu fulani ujue!umeelezea vizuri kabisa
Inawezekana na kuna theory inaitwa pamspermia inaelezea hayo.
Lakini ukifikiria Ancient civilizations kama sumerians waliokuwepo miaka zaidi ya 4000BC na technology waliyokuwa nayo inaonekana dunia ina siri nyingi...Huenda Binadamu walikuja kutoka sayari nyingine walipofika huku inawezekana walikufa sana waliobaki ndo tukatokea sisi.

kuna vitu mpaka leo havielezeki kama technolojia za zamani mfano ni Voynich manuscripts ni kitabu kilichogunduliwa kina mambo ya kibaiolojia ambacho mpaka leo wanasayansi hawakielewi na kimeandikwa Lugha ya ajabu lakini ina sifa zote za Lugha. Na kuna Antikythera mechanisms ni kifaa kiliokotwa chini ya bahari kina uwezo wa kuwa kama compass ya kuangalia mwezi na sayari iko wapi na solar system kwa ujumla..Sasa swali linabaki kifaa complex kama hiki kilitengenezwa na nani kwa matumizi gani miaka mingi BC au ndo ilikuwa ramani ya aliens?
It seems hata hapa duniani kuna vingi hatujui.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Possibly..coz just assume watu wakienda mars kupitia Yeye. halafu itokee incidence hawawezi kurudi.
Vizazi na vizazi huko vitakuwa vinaimba sifa zake ...wataanza kidogo kidogo kwa kumuita founder/pioneer kizazi kinachofuata watamuita genious kinachofata watamuita mtume/mteule kinachofata watamuita Alien kinachofata watamuita Nabii kinachofuata watamuita Mungu.

Kama ambavyo sisi tynajiuliza duniani tulikujaje Tunakosa majibu wengi wanasema tuliumbwa na Mungu basi hata wao Wakianza kujiuliza sisi tumekujaje hapa Mars wengi wataamini Mungu wao Elon Musk aliwaleta

Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu si kutakuwa na connection kati ya dunia na mars.

hawezi kuitwa mungu.
 
Sahara Deser tu imewashinda wataweza Mars ambako hata gas inahitaji itengenezwe au wasafiri nayo?
yeah sahara desert ipo afrika hivyo itakuwa vizuri kusema sahara desert imewashinda africans.

dubai ni desert vilevile.

muda ndio utasema.
 
yeah sahara desert ipo afrika hivyo itakuwa vizuri kusema sahara desert imewashinda africans.

dubai ni desert vilevile.

muda ndio utasema.
Ukitoa bara la antarctica, Sahara ndiyo worst place on earth hizo arabian deserts hazioni ndani...

Wataweza kwakuwa siku moja man will colonize other planets
 
that guy is a genius.

walimwambia reusable rockets ni impossible now wao ndio wanatumi rockets zake.
now lazima afike mars.
nachomkubali zaidi musk hajui kugive up kivyovyote.

sisi africans tuendelee kurogana na kupinga ni huruma kwa africans.

labda siku moja tutaamka.
 
mkuu si kutakuwa na connection kati ya dunia na mars.

hawezi kuitwa mungu.
Sawa hapo nimeassume hiyo connection ikivunjika..
mfano waende watu wawili lakini roket ipate ajali na kusiwepo connection na duniani...Duniani tutajua watu hao wamekufa..na hatutapeleka wengine kwa muda mrefu.

Sasa wao kwasababu roket imeharibika wataanza kuishi kama cavemen..Yaani watáanza kuzaliana na maisha yataanza upya kama dunia ya 5000BC.
Wataambia watoto wao kuwa kuna mtu duniani anaitwa Elon Musk ipo siku atatuijia kutupeleka mahali pazuri penye bahari 70% na majengo ya hewani(magorofa)

Maana maendeleo yote walioacha duniani hayatakuwepo meaning hata baada ya miaka mia hakutakuwa na Neurosientists,Nuclear physics,Doctors,Teachers,Engineers nk.

so katika circumstamce kama hiyo watu wa huko wakirudi kwenye mabaki ya ile roketi wakakuta jina Elon Musk na kukumbuka mababu zao wa kwanza walisema Elon ndo aliwaleta...Watasema Elon ni Mungu na Mbinguni(Duniani) ana malaika wengi(binadam wenzie)

Na ipo siku atakuja kutuokoa kwenye hii sayari ya jangwa ila atachukua wale wenye matendo mema tu maana rocket hazitotosha.
 
Nenda kituo chochote kilicho karibu nawe
 
Kweli kuna wakati mawazo ya mwanadamu yanakuwa hasi sana katika kufikiri na kuuona mpango wa Mungu katika maisha yake.hivi kweli kama kungekuwa na kwenda kuishi sayari hiyo alikuwa na sababu ipi ya kumleta kwetu Yesu kristo kama Bwana na mwokozi wetu?
 
Hiyo inaapply kwa africans tu.

And that's why wazungu wapo miaka 300 mbele yetu.
 
Kwa maana hiyo Elon musk atakuwa mesiah huko Mars?
Nah only mwafrika atafikiria mambo ya dini.

Musk goal yake ni kufanya human specie iwe multi planetary.

Ipo siku dunia itapigwa na kimondo au kuwa uninhabitable then tupotee wote.

Wenye akili zao ndio wanaona hilo now ni kutafuta solution mapema sio kulalamia kama waafrika.

Wazungu wanafikiria miaka 500 ijayo huku mwafrika akifikiria sasa hivi tu.
 
Si ajabu kuona leo tuna tumia simu janja miaka ya sasa ila ingekuwa miaka 1200 B.c (kabla kristo) kingekuwa kinaelezwa tungemchukulia chizi kwa kuwa uwezi kukubali ujakiona.

Matajiri wakubwa kama Elon musk wa space X kujitolea kuboresha usafiri wa anga ya mbali kufikia sayari hiyo inayotajwa kutwa na mchana.
View attachment 1644803

Na tajiri mkubwa wa amazon jeff bezos naye kuamua kujikita kwenye makazi ya huko
View attachment 1644805

Na wengine.huku mashirika makubwa yakiendelea kujikita kabisa tutaishi vipi huko kupitia baba lao NASA na wengine wanao boresha leo na kesho.

Lakini cha kushangaza kwa nini mars ina asilimia 95 kuwa kama dunia yetu
View attachment 1644807

Wanasayansi wamegundua mfumo wa kikemia jinsi ya kutenganisha gesi ili kupata hewa ya oxygen na mafuta .

Je hewa hiyo inaweza kupatikanaje wakati asilimia 0.1 ndio kundi lilopo oxygen ndani.

View attachment 1644811

Sayari ya marsi ina zingilwa na hewa ya carbon dioxide
View attachment 1644812
Kikemia ni kampaundi inayounganisha atomi mbili za oksijeni na atomi moja ya kaboni katika molekuli. Fomula yake ya kikemia ni CO₂

Tunajua vyote tunavo tumia plastic,pombe,mafuta,virutubisho,mbolea,uchafuzi wa mazingira n.k asilimia kubwa vinaundwa na carbon.

Asilimia 90 ya vitu vingi carbon inatumika sana (organic chemistry)
View attachment 1644817

tawi la sayansi ya Kemia linalochunguza kampaundi za kikemia zinazojengwa na kaboni. Inaitwa pia kemia ogania kwa sababu miili ya viumbehai wote inafanywa kwa maji na kampaundi ogania ya kikaboni.

Lakini sayansi hii inaweza kusibitisha kama hewa hiyo ya kikaboni mfano duniani bila miti hatuwezi kupata hewa hiyo japo inachakatwa na miti.
View attachment 1644819

Kama wataweza kuchakata basi inaweza kusaidia miti itakayo pelekwa huko kupata hewa na kugeuza kuwa dunia,kwa sababu marsi inatabia zote za kidunia ila ina jangwa View attachment 1644830

Naomba tujadili kitalaamu tupate mawazo
View attachment 1644831
The Apollo landing on the moon in 1969 program's total cost was about $25.4 billion, about $152 billion in today's dollars.
I wonder how it would cost a landing on Mars today and who will finance such a project
 
Kweli kuna wakati mawazo ya mwanadamu yanakuwa hasi sana katika kufikiri na kuuona mpango wa Mungu katika maisha yake.hivi kweli kama kungekuwa na kwenda kuishi sayari hiyo alikuwa na sababu ipi ya kumleta kwetu Yesu kristo kama Bwana na mwokozi wetu?
Kama asingetaka binadamu akaishi huko, kulikuwa na sababu gani ya kumpa akili na maarifa hadi aweze kutengeneza vyombo vya kumwezesha kufanya hivyo?
 
The Apollo landing on the moon in 1969 program's total cost was about $25.4 billion, about $152 billion in today's dollars.
I wonder how it would cost a landing on Mars today and who will finance such a project
Musk ame base sana jinsi ya kupunguza gharama kama kurudia Booster ambazo aloshazitumi Booster moja ina Cost maBillion sasa NASA wakootumia ndio basi So kimahesabu imepunguza gharama sana za safari hata za Mars
 
The Apollo landing on the moon in 1969 program's total cost was about $25.4 billion, about $152 billion in today's dollars.
I wonder how it would cost a landing on Mars today and who will finance such a project
Elon musk na spaceX lazima wafike mars.
 
  • Thanks
Reactions: Fbn
Sahara Deser tu imewashinda wataweza Mars ambako hata gas inahitaji itengenezwe au wasafiri nayo?
Tatizo LA sahara desert sio technology uwezo upo wa kutransform the while desert into a forest

But nani atagharamia coz hio itakuwa the biggest project ever ? Gharama zake ni insane amount ila naamini one day hicho kitu kitafanyika overpopulation itatufanya wanadamu someday tutafute solution ya kupreserve dunia nadhani hio itakuwa one of the options.
 
Back
Top Bottom