Yeah,experience inamataVijana wahovyo tu hao. Wengi tunawapa viajira huku kitaa hamna lolote. Kumbuka kadri mtu anavyokuwa senior anakuwa na experience na mambo mengi ndio maana unaweza ona mtu ana staafu lakini anaombwa kuendelea Kwa sababu ya uzoefu wake
Hao wapo ila wachache wenye bahati zao au vitengo nyetiMimi uncle wangu nimemfanyia mentorship.
Ana 49 yrs
Ana nyumba yenye wastani wa mil 100.
Ana viwanja 6
Ana nyumba pagale 2 hazijaisha.
Ana watoto 4 wapo shule bado secondary.
Juzi kapewa cheo hivyo atastaafu 2036 akiwa na 60 yrs
Ukipiga hesabu vizuri Mungu akimpa Afya atakuwa afikirii wala hana mawazo ya kikokotoo.
Lakini amefikia hii hatua baada ya kukaa mbali na ngono ,pombe , kubeti n.k
Kazi yake ni ..........
Mataifa ya Afrika yanakufa kutokana na kuwepo kwa wingi kwa watu wenye akili mbovu Kama hizi. I feel ashamed to be African!
Mimi uncle wangu nimemfanyia mentorship.
Ana 49 yrs
Ana nyumba yenye wastani wa mil 100.
Ana viwanja 6
Ana nyumba pagale 2 hazijaisha.
Ana watoto 4 wapo shule bado secondary.
Juzi kapewa cheo hivyo atastaafu 2036 akiwa na 60 yrs
Ukipiga hesabu vizuri Mungu akimpa Afya atakuwa afikirii wala hana mawazo ya kikokotoo.
Lakini amefikia hii hatua baada ya kukaa mbali na ngono ,pombe , kubeti n.k
Kazi yake ni ..........
😅😅😅😅😅Mataifa ya Afrika yanakufa kutokana na kuwepo kwa wingi kwa watu wenye akili mbovu Kama hizi. I feel ashamed to be African!
Wengi wenye mali kama hizo ni wapigaji wa hela za umma kwa hiyo usichukulie kama mentor.
Kama unafikiri tunakudanganya fanya utafiti ujue na mshahara wake kama hutamuita jambazi.....
Usijidanganye, hakuna watu wenye nidhamu ya matumizi ya pesa kama waalimuHamna ni nidhamu ya PESA kumbuka amepata ajira 1998 sasa just count the days
Useme sehemu aliyopo anapata chakula ,unga na mchele for free. Maa na ni mpishi.
Kufanikiwa nikujipanga mkuu na nidhamu
Hivi JF unaweza acha kucheka kweli...sijui mnawazaga nini😅😅😅😅😅Hata 50 ni sahihi na murua sana.Unaondoka na kikokotoo chako chembamba ukafie mwituni.
vijana wa hovyo hawa wamezoea kukesha baa adi asbh uku wakila kimaskhara mwisho wanakuja kuita wenzao mafisadiHamna ni nidhamu ya PESA kumbuka amepata ajira 1998 sasa just count the days
Useme sehemu aliyopo anapata chakula ,unga na mchele for free. Maa na ni mpishi.
Kufanikiwa nikujipanga mkuu na nidhamu
kwavp mkuuUnachafuwa halo ya hewa.
Ni stress free zone!Hivi JF unaweza acha kucheka kweli...sijui mnawazaga nini😅😅😅😅😅
[emoji3166]Ni stress free zone!
Umezingua sana mwana. Mimi natamani kama sheria ingeruhusu nipewe changu mapema at 50 maana kuna fursa kibao naona zinanipita kwa sababu ya kubanwa na taratibu na sheria kibao za mwajiri sipati muda wa kufanya full utilisation of my potentialsWakuu hii point inajisimamia yenyewe kabisa wala haihitaji kujaziwa nyama nyingi kiviiile maana mengi yako wazi sana kwa sasa
- Hali ya kitaa inajulikana jinsi kulivyo kwa moto[emoji3533]
- Vikokotoo vyenyewe ndo vile tena bado havisomeki
- Madogo na mamazao bado wanatugemea
- Au mnataka mtuue mapema wazee wenu tuliotumikia taifa kwa uadilifu kabisa
Imagine ni baba yako unamjibu hivyoHata 50 ni sahihi na murua sana.Unaondoka na kikokotoo chako chembamba ukafie mwituni.
PointWengi wenye mali kama hizo ni wapigaji wa hela za umma kwa hiyo usichukulie kama mentor.
Kama unafikiri tunakudanganya fanya utafiti ujue na mshahara wake kama hutamuita jambazi.....
Kuna watu wanakaririshwa hawajui mishahara ya serikaliniUsijidanganye, hakuna watu wenye nidhamu ya matumizi ya pesa kama waalimu
....yaani ana watoto wanne kabisa English medium?
Unajua mshahara wa mwaka 1998 wewe? Weka hapa mshahara alioanza nao kazi 1998 na anaopokea sasa hivi, ndio utaelewa unacho ambiwa...
Mpishi ana nyumba ya 100m na pagale za kutoshaHamna ni nidhamu ya PESA kumbuka amepata ajira 1998 sasa just count the days
Useme sehemu aliyopo anapata chakula ,unga na mchele for free. Maa na ni mpishi.
Kufanikiwa nikujipanga mkuu na nidhamu
Hadi 2010 mshahara wa graduate ulikuwa unaanzia 250000Hamna ni nidhamu ya PESA kumbuka amepata ajira 1998 sasa just count the days
Useme sehemu aliyopo anapata chakula ,unga na mchele for free. Maa na ni mpishi.
Kufanikiwa nikujipanga mkuu na nidhamu
Huyo ni form four tu my uncleHadi 2010 mshahara wa graduate ulikuwa unaanzia 250000