Miaka ya kustaafu iongezwe

Nonsense
 
Kuna anko wangu anastaafu December, 'kachanganyikiwa'. Nyumba ya kueleweka hana. Anastaafia kwenye nyumba ya kupanga. Penshen ikitoka ndio akajenge!
 
Akili za kipuuzi kabisa
 
Kazi za serikali ziwe za mkataba mwisho kufanya kazi serikalini iwe miaka 20 tu. Baada ya hapo watu wastaafu wakafanye biashara
 
Kazi za serikali ziwe za mkataba mwisho kufanya kazi serikalini iwe miaka 20 tu. Baada ya hapo watu wastaafu wakafanye biashara
Wafanye kwa vitendo ,na ule ujinga wa kuwananga vijana kwamba wajiajiri ukome .
Kama jitu limefanya kazi miaka zaidi ya 40 na bado linalilia ajira na halijaweza hata kuanzisha mradi mdogo wa kuingiza kipato cha kujikimu yet linalilia nyongeza ya miaka ya kutumikia serikali ,huu ni ujinga .

Imagine msoto wa graduates ambao hawana ajira wala mitaji wanaishi vipi kitaa ?
 
Uoga wa Maisha huo nyie ndo mnastaafu mnarudi navipara hakuna kazi ya kuajiriwa iliyomfanya mtu kuwa bilionea unless aibe
 
Acha muipate fresh mkija kitaa maana mlikuwa wanoko mkiwapiga majungu wafanyakazi wenzio. wengi wamefukuzwa, kuacha, kutengenezewa kesi na nyie! Njoo kitaa kiwajambishe! Miezi tu mtakuwa kwishne!
 
Acha muipate fresh mkija kitaa maana mlikuwa wanoko mkiwapiga majungu wafanyakazi wenzio. wengi wamefukuzwa, kuacha, kutengenezewa kesi na nyie! Njoo kitaa kiwajambishe! Miezi tu mtakuwa kwishne!
mkuu mbona sio wote wafanyao hayo uyasemayo
 
Binafsi naona ipunguzwe kutoka 60 hadi 45.
una habari zaidi ya nusu ya wafanyakazi wote wana umri zaidi ya huo unaosema? sasa wakiondoka ao wote inakuwaje mambo yataendaje mkuu? na hata hao madogo si adi wafundwe na kuwiva au we uyaoni ayo?
 
Vijana wengi wako bench wanasubiri kupokea kijiti.
Vijana wahovyo tu hao. Wengi tunawapa viajira huku kitaa hamna lolote. Kumbuka kadri mtu anavyokuwa senior anakuwa na experience na mambo mengi ndio maana unaweza ona mtu ana staafu lakini anaombwa kuendelea Kwa sababu ya uzoefu wake
 
Kuna anko wangu anastaafu December, 'kachanganyikiwa'. Nyumba ya kueleweka hana. Anastaafia kwenye nyumba ya kupanga. Penshen ikitoka ndio akajenge!

Mimi uncle wangu nimemfanyia mentorship.

Ana 49 yrs
Ana nyumba yenye wastani wa mil 100.
Ana viwanja 6
Ana nyumba pagale 2 hazijaisha.
Ana watoto 4 wapo shule bado secondary.

Juzi kapewa cheo hivyo atastaafu 2036 akiwa na 60 yrs

Ukipiga hesabu vizuri Mungu akimpa Afya atakuwa afikirii wala hana mawazo ya kikokotoo.

Lakini amefikia hii hatua baada ya kukaa mbali na ngono ,pombe , kubeti n.k

Kazi yake ni ..........
 
Na Bado unakuwa na nguvu za kujifunza kazi mpya,sio unastaafu Kila kitu kinauma
Kuishi kwa kuogopa kustaafu nao ni ujinga.Staafu na uchukue chako ukale na mchumba wako mliozeeka naye.Unaondoka na miaka 60 huku unatetemeka na kujongea(siyo kutembea wima)ndiyo nini sasa?
 
He is a lucky boy!Mumtunze.
 
Unachafuwa halo ya hewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…