Braza Kede
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 5,168
- 8,972
Wakuu hii point inajisimamia yenyewe kabisa wala haihitaji kujaziwa nyama nyingi kiviiile maana mengi yako wazi sana kwa sasa
- hali ya kitaa inajulikana jinsi kulivyo kwa moto[emoji3533]
- vikokotoo vyenyewe ndo vile tena bado havisomeki
- madogo na mamazao bado wanatugemea
- au mnataka mtuue mapema wazee wenu tuliotumikia taifa kwa uadilifu kabisa
hawa ni vijana wetu tutagawana iki kidogo kinachopatikanaVijana wengi wako bench wanasubiri kupokea kijiti.
Mataifa ya Afrika yanakufa kutokana na kuwepo kwa wingi kwa watu wenye akili mbovu Kama hizi. I feel ashamed to be African!Wakuu hii point inajisimamia yenyewe kabisa wala haihitaji kujaziwa nyama nyingi kiviiile maana mengi yako wazi sana kwa sasa
- hali ya kitaa inajulikana jinsi kulivyo kwa moto[emoji3533]
- vikokotoo vyenyewe ndo vile tena bado havisomeki
- madogo na mamazao bado wanatugemea
- au mnataka mtuue mapema wazee wenu tuliotumikia taifa kwa uadilifu kabisa
uko sahihi kabisa mkuuUsiache kufanya kazi mkuu unabidi ustaafu na 65 , hii angalau kidogo .
Unataka ufe ukiwa unatembea umebeba faili?Wakuu hii point inajisimamia yenyewe kabisa wala haihitaji kujaziwa nyama nyingi kiviiile maana mengi yako wazi sana kwa sasa
- hali ya kitaa inajulikana jinsi kulivyo kwa moto[emoji3533]
- vikokotoo vyenyewe ndo vile tena bado havisomeki
- madogo na mamazao bado wanatugemea
- au mnataka mtuue mapema wazee wenu tuliotumikia taifa kwa uadilifu kabisa
Hata 50 ni sahihi na murua sana.Unaondoka na kikokotoo chako chembamba ukafie mwituni.55 , very usefully, hiyo mingine ni kama miaka ya maafa baada ya kustaafu
Dah! Mkuu wewe bado haujachoka? Sisi wenzio tumechoka sana, tunahitaji kupimzika, maisha yenyewe mafupi sana haya. Umeshindwa kurekebisha muda wote huo iongezwe mingapi ili uweze kurekebisha, imeenda hiyo mkuu we toka tu, tuwaachie wengine keki ya taifa.Wakuu hii point inajisimamia yenyewe kabisa wala haihitaji kujaziwa nyama nyingi kiviiile maana mengi yako wazi sana kwa sasa
- hali ya kitaa inajulikana jinsi kulivyo kwa moto[emoji3533]
- vikokotoo vyenyewe ndo vile tena bado havisomeki
- madogo na mamazao bado wanatugemea
- au mnataka mtuue mapema wazee wenu tuliotumikia taifa kwa uadilifu kabisa
unaongelea wapi uko mkuu maana somalia waliovurugana kwa miaka mingi saivi wako vizuri na presidaa wao saivi anapata gahawa na mama pale mjengoni. seleka wa afrika ya kati na wenzao antibaraka walishakaa sawa au wapi uko unakozungumzia?Mataifa ya Afrika yanakufa kutokana na kuwepo kwa wingi kwa watu wenye akili mbovu Kama hizi. I feel ashamed to be African!
Acha uoga wa MaishaWakuu hii point inajisimamia yenyewe kabisa wala haihitaji kujaziwa nyama nyingi kiviiile maana mengi yako wazi sana kwa sasa
- hali ya kitaa inajulikana jinsi kulivyo kwa moto[emoji3533]
- vikokotoo vyenyewe ndo vile tena bado havisomeki
- madogo na mamazao bado wanatugemea
- au mnataka mtuue mapema wazee wenu tuliotumikia taifa kwa uadilifu kabisa
umechoka staafu kwa hiari, umechoka bado unakomaa kwenda kazini huo n uwongoDah! Mkuu wewe bado haujachoka? Sisi wenzio tumechoka sana, tunahitaji kupimzika, maisha yenyewe mafupi sana haya. Umeshindwa kurekebisha muda wote huo iongezwe mingapi ili uweze kurekebisha, imeenda hiyo mkuu we toka tu, tuwaachie wengine keki ya taifa.
Unataka awe kivutio cha utalii kwa wateja?Ataanza kutembea huku anatetemeka na kuongea hajiwezi kwa ukibogoyo.Mkuu kale kiapo upunguze miaka, kama una 40 weka hata 20yrs itapendeza
Muda wa kuustaafu utafika, sitaki kukatisha mkataba. Lakini pis siko tayari kuongezewa muda.umechoka staafu kwa hiari, umechoka bado unakomaa kwenda kazini huo n uwongo
kuna kipengere cha kuacha kazi kitumie kama umechokaMuda wa kuustaafu utafika, sitaki kukatisha mkataba. Lakini pis siko tayari kuongezewa muda.