Miaka ya 1980s hadi 1990s, ndiyo ilikuwa golden Era ya mapinduzi ya burudani duniani.

mcTobby

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2018
Posts
6,498
Reaction score
18,160
Kwanza niwape pole kwa yanayoendelea kwenye taifa letu . Tutapata tu jawabu .. anyway moja kwa moja kwenye mada.
Miaka hiyo niliyoitaja hapo juu naweza kusema ndicho kipindi au zama za ulimwengu wa burudani ambapo ilikuwa ni zama ya aina yake . Walioishi hiki kipindi wanaweza kubaliana nami kwamba ndicho kipindi
  • Miziki mizuri ulitungwa na kuimbwa na zinatesa hadi leo hii.. Mj,celine dion,etal
  • Filamu maarufu duniani zote zilitengenezwa . Waigizaji walikuwa wakiuvalia uhusika ile ipasavyo. Kuanzia romance ya Titanic hadi za mapigano na kijeshi kama john rambo,true lies na commando
  • Mashindano ya mbio za magari yalikuwa na hype kubwa sana duniani kama vile yale ya NASCAR na madereva mashuhuri kama kina dale earnhadt walikuwa wakizipa umaarufu.
  • Ni kipindi ambapo madisco na live concert zilikuwa zikitamba duniani kote kuanzia ukumbi wa madison square garden pale marekani hadi billcanas, ddc mlimani kule dsm Tanzania. Watu walikuwa waki i feel ile burudani kutoka moyoni kabisa.
Hakika zama hizo hazipo tena . Tuko zama za akili mnemba. Kwamba dunia ya sasa AI ndio order of the day. Burudani za sasa hazina ile ile "soul touchy"kama miaka ile.. gone are the days.
 
Ya kale ni dhahabu, hata kwenye mpira ligi ndogo za mikoani zilijaza viwanja. Mchezaji akisajiliwa ligi kubwa mtafahamu wote na kumfuatilia magazetini. Burudani zote za miaka hiyo zilikuwa na msisimko mkubwa tuliwajua mastaa wote duniani wa burudani hizo
 
Ukweli mtupu dunia imebadilika sana na watu wamekuwa in-social sana sijui tunaelekea wapi!
 
All decades are great. But the 80s was the greatest decade of them all.

Bila kusahau kuwa ndio kipindi ukimwi uliingia kiwizi na kutesa sana.
 
umelipwa shingapi na CCM.mtazame mwembamba kama kuni za somaria
 
Ya kale ni dhahabu, hata kwenye mpira ligi ndogo za mikoani zilijaza viwanja. Mchezaji akisajiliwa ligi kubwa mtafahamu wote na kumfuatilia magazetini. Burudani zote za miaka hiyo zilikuwa na msisimko mkubwa tuliwajua mastaa wote duniani wa burudani hizo
Hakika sikupingi
 
Hakika tu
nadhani hadi miaka ya 2000 mwanzoni,bado mambo yalikuwa moto
Tuseme hadi 2010 hivi kidogo. Ila kuanzia 2012 mambo yalichange .
 
Kwanza niwape pole kwa yanayoendelea kwenye taifa letu . Tutapata tu jawabu .. anyway moja kwa moja kwenye mada.
Miaka hiyo niliyoitaja hapo juu naweza kusema ndicho kipindi au zama za ulimwengu wa burudani ambapo ilikuwa ni zama ya aina yake . Walioishi hiki kipindi wanaweza kubaliana nami kwamba ndicho kipindi
  • Miziki mizuri ulitungwa na kuimbwa na zinatesa hadi leo hii.. Mj,celine dion,etal
  • Filamu maarufu duniani zote zilitengenezwa . Waigizaji walikuwa wakiuvalia uhusika ile ipasavyo. Kuanzia romance ya Titanic hadi za mapigano na kijeshi kama john rambo,true lies na commando
  • Mashindano ya mbio za magari yalikuwa na hype kubwa sana duniani kama vile yale ya NASCAR na madereva mashuhuri kama kina dale earnhadt walikuwa wakizipa umaarufu.
  • Ni kipindi ambapo madisco na live concert zilikuwa zikitamba duniani kote kuanzia ukumbi wa madison square garden pale marekani hadi billcanas, ddc mlimani kule dsm Tanzania. Watu walikuwa waki i feel ile burudani kutoka moyoni kabisa.
Hakika zama hizo hazipo tena . Tuko zama za akili mnemba. Kwamba dunia ya sasa AI ndio order of the day. Burudani za sasa hazina ile ile "soul touchy"kama miaka ile.. gone are the days.
maisha yalikua ya udugu na upendo mkubwa!!
 
Tunaikosa sana miziki ya akina Nu Shooz, Kool n the Gang ulikuwa unaweza kusikiliza siku nzima usichoke

Ni wakati wa EATV kurudisha kipindi cha Jukebox

Kitenge alikuwa anaweza sana kukihost kile kipindi
 
Back
Top Bottom