Miaka sitini na tatu unaoa ili iweje?

Ni rahisi sana mgane wa umri huo kupoteza maisha kwa msongo wa mawazo ya upweke, sasa we unadhan akioa anataka kugegeda tu?? wengi wao huwa wanatamani companionship sio migegedo tu..yaani kumalizia maisha yao yaliyobaki kwa amani na furaha so mi hapo sion la ajabu mzee akioa...it doesn't matter umri muhimu binti awe above 18.
 

Weweee wazee wenye akili timamu huwa hawaoi wazee wenzao...sijui kuhusu bongo ila angalia mfano hta wazungu... unaweza kuta mtu ana 65 n above na anaoa kabinti special kabichii hata 20-25 tena huwa wanapenda wadogo wadogo maana wanaelewa ni wana nguvu so mambo ya mtu kuoa akiwa mzee mi naona sawa tu...sioni cha ajabu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…