haya ni mawazo ya mtu anayefikiri ndoa ni tendo la ndoa tu. Katika maisha ya ndoa kuna mengi mno, ingia kwanza katika ndoa then utajuwa.
and here you're for real...!Here i am my dear, nieleze vyote ulivyomiss nitimize kimoja baada ya kingine
and here you're for real...!
..Kwanza unakuja kwa kubeep mjengoni, mwenzako nikosoma posts zako natamani nikuone live ujuwe..
wewe nawe huoni kitu ukanyamaza, mchagga wa wapi weye
hahaaha..mekusoma..!Nishakujibu, tatizo lako unataka majibu ya kunitia matatani!! Read btn the lines plz