Kazi za ujenzi wa Reli ya Kisasa ya SGR, sehemu ya 5 Isaka - Mwanza (KM 341) unaotekelezwa na kampuni ya China Civil Engineering Construction Corporation (CCECC) kutoka China zikiendelea.
Ujenzi umefikia asilimia 22.67%
#HAKUNA KILICHO SIMAMA
[emoji122] Mengi ameyafanya Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwenye sekta ya Ujenzi na Uchukuzi toka alianza kuiongoza Nchi 19 March, 2021.