Hahahaaaa. Ndio wanasema inawezekana eti.Wote hao waongo. Ile kitu haivumiliki asee.. Ukikaa muda mrefu sana kuna wakat mpka inakakamaa. Labda kama ni oya oya au wanapuchuka. Kwa mwanaume kamili haiwezekani asee
Labda inawezekana. Ila kwa mwanaume kamili ni kazi sanaHahahaaaa. Ndio wanasema inawezekana eti.
Itakuwa labda hayo ya kukakamaa hawajakutana nayo bado.
Hata ukipata hisia hakuna wa kuziondoa kumbukeni kule ni uarabuni sio AfrikaMkuu kwamba ndani ya miaka miwili huwezi pata hisia hata kidogo.? Hawapumziki hata kama ni kazi izo.?
Haiwezekani
Naona maswahiba mnaongopeana liveHahahaaa.
Ujue hili swali limenipita kimo swahiba.
Ila nipe muda nione naweza kaa mpaka lini. Hahahahaaaaa
Ahaah sikumbuki vizuri swaiba, ila nahisi ilikua ndotoni soon after Tanzagiza independent.
Hahaaa.. Eti wazinzi kutetea uzinzi wao.Tafiti hii umeitoa wapi..? Akuna ukweli juu ya hilo ni drama za wazinzi kutaka kutetea uzinzi wao
Daah.. Sitaki kukanyaga hiyo ardhi aseeh..Hata ukipata hisia hakuna wa kuziondoa kumbukeni kule ni uarabuni sio Afrika
Utanisadia kuhesabu kimoyomoyo swahiba, halafu majibu yake unitumie kwa njia ya EMs
Nifate pm nikupe dawa ya miaka zaidi,Hata mm naweza hapa Nina mmoja kasoro kama week 3
Hahaha mimi siongopi black beauty ila kumbukumbu zilizoko kichwani ndo hizo.Naona maswahiba mnaongopeana live
Usijali mtu wangu, uwe na amaniSawa Mkuu. Ila nisamehe bure sikuwa nimekuelewa pale.
Aaah! Sasa nimekuelewa,unamaanisha tanzagiza independence day, alipoachiwa babu seya sio? Basi mpaka leo una siku ya 20.Hahaha mimi siongopi black beauty ila kumbukumbu zilizoko kichwani ndo hizo.
Ujue wazee tunapotezaga kumbukumbu samtimez
Poa poa. Karibu Mkuu.Usijali mtu wangu, uwe na amani
Aaah! Sasa nimekuelewa,unamaanisha tanzagiza independence day, alipoachiwa babu seya sio? Basi mpaka leo una siku ya 20.
Mjini hakufai, baki zako huko kijijini tu
Kumbe hao watu walishaachiwa, ngoja nije kumsalimia mwanangu Dasilamu, huku kijijini kunaanza kunipoteza
Aisee, basi wasalimie huko mjini, ukimwona mwanangu Masumbuko mwambie aje kunisalimu bhanaMjini hakufai, baki zako huko kijijini tu
Mimi siko mjini na sijawahi kufika huko.Aisee, basi wasalimie huko mjini, ukimwona mwanangu Masumbuko mwambie aje kunisalimu bhana
Ahaaah, basi sawa black beauty wasalimu huko uliko.Mimi siko mjini na sijawahi kufika huko.
Zimewafikia! Nawe wasalimie wanakijiji wenzako hukoAhaaah, basi sawa black beauty wasalimu huko uliko.