harakati za siri
JF-Expert Member
- Aug 23, 2020
- 1,112
- 2,987
Kwa kweli flyovers zaidi zinahitajika, jam bado ni tatizo hasa kipindi hiki cha mvua, kuna wakati mtu anatamani gari aliache kwenye foleni ashuke.
kama ni hivyo wangebadili na ilani kabisa, wanajaribu kutenga na yale yaliyofanyika katika enzi za bwana yuleKwahy ulitaka tuseme samia anamalizia awamu ya tano.? Hakuna kitu kinachoitwa kumalizia muhula, muhula n rais, kila rais na muhula wake na sio vinginevyo.