Miaka mitatu michungu mtaani

Kuna kazi wametangaza advans bank deadline tar 2 february 2015 post ni finance assistant....
 
duh hizi kazi balaah, ni wakati sasa wa kusomea fani ambazo ni rahisi kujiari hasa ufundi ufundi kama vile umakanika,kompyuta,umeme,nk angalau unaweza kujiokotezea sarafu,ila hizo ambazo ni za kinadharia zaid labda uwe mwalimu
 
yaani hili Li Laki Sipesa sijui limelaaniwa?hv mtu unaweza ukawa na akili timamu ukatoa ishauri wa hvo? alaf utakuta lenyewe limeajiriwa kwa mhindi linafua c.h.u.p.i za kanjibai
 
Omba Mungu hapo maana teyar imeshajizihirisha kwa nguvu zako hutapata.. kila mahali utakapo peleka bahasha yakupasa kuombea kabla ya kuiacha.. Me ninaushahidi.. usikate tamaa utapata.. Mungu akutangulie!
 

Pole mkuu kwa kunyanyasika ila hongera kwa kupata kazi
 
Mtie mimba binti wa jirani yako ndo akili ya kupata ajira itafunguka
 
kwani ukimwaga ndo unakuja chukua kitengo mkuu, jiandae kisaikolojia huku ni zaidi ya udhaniavyo.
zipompa
yani umekurupuka vibaya sana kijana, post yangu imeendana wazi na janga la mleta uzi, wewe kwa fikra zako za wivu umeona mimi kusema ''na sisi tunamwagwa mwezi wa sita umeona labda nimesema mwezi wa sita napata kitengo bandari'' mkuu usipanik, maisha ndo haya haya!
 
Last edited by a moderator:
hahahahha yaani nkuonee wivu, sikujui unijui utakuwa na matatizo mkuu
 
Dah pole sana mkuu! Huo ndo uhalisia wa maisha yetu watanzania. Usichoke, keep praying as much as it can be done. Chengine, kwa sisi wengine wengine huwa tunaamini endapo sehemu moja maisha yamekushinda ni vyema uhame ukaombe Mungu mahala kwengine, so na mm nakushauri hivyo.

Pia, inaweza ikatokea issuez ambazo ww utakua over qualified, please ziombe hizo. Sie wengine huwa tunaamini kwamba first you get into the system, then channels will follow you.

Keep moving mdau,

Pamoja
 
pole saana Kamanda mm pia nilikaa kitaa miaka ka 2 na bsc ya engineering Mungu si athuman sikukata tamaa nimekuja paa shafu Oilfield Service bila mchongo daily nasafr nje na mafunzo ya kutosha USIKATE TAMAA
 
Hawa wapuuzi wanasema tujiajiri mbona wao hawajajiajiri!waondoke maofisini wakajiajiri na sisi tuchukue nafasi zao
 

Bachelor ya Finance mwaka wa tatu upo kitaa!!!!!!!!!!!!! mwananangu huna shida nyingine ianonekana elimu yako ni desa oriented ila upgrade yourself man penda sana kusoma vitabu, najua hapa tatizo ni uwoga na kujieleza.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…