Mayor Quimby
JF-Expert Member
- Mar 13, 2021
- 6,750
- 14,496
Swali łąki ni too generic kwa sababu serikali budget yake zama za Magufuli 80% ni mapato ya ndani.Maneno mengiii! Hujajibu swali langu. Wewe utakuwa muathirika wa uongo wa ccm. Ccm na viongozi wake wamekuwa wakitudanganya Watanzania tangu uhuru mpaka Leo.
Upanuzi wa barabara ya Kimara kwenda Mbezi JPM alitumia mapato ya ndani!Swali łąki ni too generic kwa sababu serikali budget yake zama za Magufuli 80% ni mapato ya ndani.
Sasa mimi nitajua vipi mradi upi chanzo chake ni vyanzo vya ndani; na upi mkopo.
Maswali mengine majibu yake labda kama unataka kuongopewa.
Budget ya mwisho ya Magu Serikali ilikadiria kupata asilimia 69 ya budget hiyo na kupanga kukopa 4trilion na mabeberu yangejazia 6trillion. Hapa Magu hakutaka kutuweka wazi kuhusu fedha za mabeberu na hata mikopo ya nje mingi tulifichwa, halafu tukaambiwa miradi inatekelezwa na Fedha za ndani tu, kitu ambacho ni uongo. Tangu uhuru Tanzania haijawahi kuchangia asilimia 80 katika budget yake!Swali łąki ni too generic kwa sababu serikali budget yake zama za Magufuli 80% ni mapato ya ndani.
Sasa mimi nitajua vipi mradi upi chanzo chake ni vyanzo vya ndani; na upi mkopo.
Maswali mengine majibu yake labda kama unataka kuongopewa.
Hayo maswali anaeweza jibu ni Dr Mpango, ndio aliekuwa na majukumu ya finance allocation wakati Magufuli.Upanuzi wa barabara ya Kimara kwenda Mbezi JPM alitumia mapato ya ndani!
Point yako haieleweki.Budget ya mwisho ya Magu Serikali ilikadiria kupata asilimia 69 ya budget hiyo na kupanga kukopa 4trilion na mabeberu yangejazia 6trillion. Hapa Magu hakutaka kutuweka wazi kuhusu fedha za mabeberu na hata mikopo ya nje mingi tulifichwa, halafu tukaambiwa miradi inatekelezwa na Fedha za ndani tu, kitu ambacho ni uongo. Tangu uhuru Tanzania haijawahi kuchangia asilimia 80 katika budget yake!
How so, justify your accusations.Magufuli was a country bumpkin.
Wewe baki huko huko Moshi uendelee kufaidi hela ya ujenzi wa soko la hovyo!Hayo maswali anaeweza jibu ni Dr Mpango, ndio aliekuwa na majukumu ya finance allocation wakati Magufuli.
Majibu yangu labda kama unataka nikuongopee, kwanza hata hiyo barabara yenyewe unayoongelea siijui.
Magufuli was questioning why was an elevator (a lift) needed in a hospital.How so, justify your accusations.
Ngugu upo sahihi asilimia mia tatu , kwa miaka 30 toka mwinyi mpaka kikwete tulishindwa kutatua tatizo la umeme Tanzania, Mgufuli aliweza kwa muda mfupi, SGR na biashara ya reli miaka 30 tulifeli Magufuli ameweza kuanzisha na hata reli ya kaskazini alishaanza kufufua, na ilishaanza kufanya kazi, kuhamia dodoma miaka 50 tumlishindwa Magufuli kaweza, 3. Daraja la kigogo busisi sijui nani aliwahi kulifikiria, Daraja la Tanzanite ni ndoto, na ingekuwa ndoto maisha yote, Foleni Dar es salaam hakuna aliyefikiria kujenga flylovers miaka 20 y mkapa na kikwete tulijaribu hatukuweza Magufuli kaweza, ATC kuifufua mkapa alijaribu mpaka kuwapa south africa, tukafeli mara zote, kikwete akaliachia lijifie Magufuli aliweza, WAHUNI waliieweza nchi , magufuli aliwaweza wahuni, madini yalikuwa yanachimbwa na wazungu tu waafrica wacahche sana leo watanzania ndo mhimili wa wizara ya madini na wazalishaji wakubwa tuseme nini tena?Uwe mnufaikaji wa system iliyopo sasa, vinginevyo kumsagia kunguni Magufuli ni upunguani.
,
Besides kwa long term prosperity ya Tanzania inabidi nchi ijipange kwa kuandaa viongozi sahihi na watu wenye.
Kwa siasa za Tanzania na 80% ya uwezo wa viongozi nchi aichomoki.
Mengine ni ujinga tu mnao jijaza kwa kudhani kazi ya kuongoza nchi ni rahisi.
Magufuli was very special
Ni maumivu mno kabisa !Chema huwa hakidumu kwa sababu huwa hakipendwi na wabaya !
Usipowawahi wanakuwahi 😳🙄👍 !
Yes, very very special indeed !Uwe mnufaikaji wa system iliyopo sasa, vinginevyo kumsagia kunguni Magufuli ni upunguani.
Besides kwa long term prosperity ya Tanzania inabidi nchi ijipange kwa kuandaa viongozi sahihi na watu wenye.
Kwa siasa za Tanzania na 80% ya uwezo wa viongozi nchi aichomoki.
Mengine ni ujinga tu mnao jijaza kwa kudhani kazi ya kuongoza nchi ni rahisi.
Magufuli was very special
Results za sustainable development hazipimwe kwa mawazo na nadharia za viongozi au kupelekea kuundwa sera zisizo tekelezeka. Huo ndio ulikuwa uongozi wa Nyerere wakinadharia tu na itikadi performance na social impact Hakuna.
Magufuli was something else a doer, tunajenga; tunajenga hakuna hadithi nyingine. Umeme aukatiki au katwi.
Tunajitegemea, tutajitegenea bila ya misaada; ikibidi kukopa private banks. Sasa kukopa private banks inabidi vitabu vyako vya balance sheet na cashflow viwe sawa.
Misaada wazungu wanaitumia kama soft power, ukizingua wanaikata kwa sababu wewe ni tegemezi ukilia njaa baada ya kukatiwa. Ili wakurudishie masharti ni kufanya abc wanavyotaka wao.
Huo upuuzi Magufuli alisema no, hamuwezi tumia soft power ya misaada kutupangia moral value zetu au maamuzi yetu ya kuendesha nchi.
Magufuli was a man and a half, ni watu wa hovyo tu serikalini, majizi na sakapoko ambao uchangiaji wao JF unategemea vocha za watu wanaowapangia cha kuandika JF wanaweza mtukana Magufuli.
Magufuli hakuwa wa mzaha-zaha kabisa, R.I.P.