Miaka inazidi kukatika lakini bado mbele giza, natafuta marafiki kupeana connection

Mo pal-mo

Senior Member
Jan 16, 2021
176
243
Natumaini mu buheri wa afya wanajukwaa!

Baada ya kuhitimu chuo miaka michache iliyopita, nilikuja Kahama mjini mkoa wa Shinyanga kupambana. Miaka inazidi kukatika huu mwaka wa pili sasa lakini bado mbele naona giza. Nimetafakari nikagundua kuwa, bado sijatengeneza marafiki ambao huenda kupitia wao naweza kupata mwanga.

Nimejitokeza hapa jukwaani nikitafuta marafiki ndani na nje ya Kahama, ambao tunaweza kushauriana pamoja na kupeana mbinu za kukabiliana na maisha zikiwemo na connection mbalimbali.

Natanguliza shukrani
 
Marafiki watengeneze nje sio mitandaoni
 
Back
Top Bottom