Miaka ileeeeeee hizi swaga hazikuwepo kabisa ....

Miaka ileeeeeee hizi swaga hazikuwepo kabisa ....

busy bees

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2016
Posts
2,249
Reaction score
1,348
2adc53a83eff7768f695a222d3019926.jpg
 
Kitu black and white unapigia studio kama ni kitaa huyo photographer kama hana mbwembwe basi hakupigeni tena mnataka yule kama anataka kupiga anakish kisha anakuja anakwambia wewe sogea ndani kidogo anarudi tena haya napiga mara aah wewe mbona umetoka nje tena rudi hapa basi zoezi linachukua dakika kama 10 hapo ndo uuh picha inapigwa
 
huyu wa kati dalili za kuwa mjeda,/mwela zinaonekana mapema
 
Huyo aliyevaa T shirt ya kijani anaweza kuja kuwa kiongozi wa chama Fulani cha siasa hapo baadaye...
[emoji1] [emoji1] [emoji1] kauanza ukamanda mapema sana
 
Kitu black and white unapigia studio kama ni kitaa huyo photographer kama hana mbwembwe basi hakupigeni tena mnataka yule kama anataka kupiga anakish kisha anakuja anakwambia wewe sogea ndani kidogo anarudi tena haya napiga mara aah wewe mbona umetoka nje tena rudi hapa basi zoezi linachukua dakika kama 10 hapo ndo uuh picha inapigwa
wanikumbusha mbali [emoji2] [emoji2]
 
Watu wana miembe kichwani ya nguvu (Jackson five )hapo studio katikati kuna ua mnaweza kulishika kimtindo mnapiga leo baada ya wiki au wiki mbili ndo mzigo unakuja.
Mwapiga picha mbele ya picha kubwa ilowekwa ukutani ionyeshayo "minazi iliyo ufukweni" .... afu mwasema "tulikuwa beach hapo" [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Back
Top Bottom