Miaka Hamsini ya Uhuru "HONGERA CCM" | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Miaka Hamsini ya Uhuru "HONGERA CCM"

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by GAZETI, Nov 5, 2011.

 1. GAZETI

  GAZETI JF-Expert Member

  #1
  Nov 5, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 3,522
  Likes Received: 1,005
  Trophy Points: 280
  Tumebakiza nukta chache kutimiza miaka hamsini ya uhuru, ni safari ndefu sana,
  Inasisimua, inashangaza, inachukiza pia inahuzunisha. Kabla sijasema kwanini naipongeza
  CCM nataka nionyeshe kwanza jinsi mambo yalivyo

  1. Miaka Hamsini ya Uhuru Bado tunategemea misaada kutoka nje
  (Hii imesababisha mataifa ya nje kupata jeuri ya kutaka kutusainisha mikataba ya ushoga
  Nina hofu kuwa tutapewa sharti ili uwe Rais wa TANZANIA lazima ukubali kuolewa na waziri
  mkuu wa Uingereza au Rais wa Marekani)


  2. Miaka 50 ya uhuru bado umeme ni wa mgao

  3. Miaka 50 ya uhuru bado kilimo ni cha jembe la mkono

  4. Miaka 5o ya uhuru hata vijiti vya kuchokonolea meno vinatoka china

  5.Miaka 50 ya uhuru maji ni tatizo hata katika jiji la Dar

  6. Miaka 50 ya uhuru.......................................... !

  Ninachoipongeza CCM hapa ni uwezo wao mkubwa wa kuwafanya baadhi ya watanzania
  kuwa mbumbu kiasi cha kuwakumbatia kwa nguvu zao zote, Nashindwa kujua ni uchawi
  gani umetumiwa na CCM kiasi cha kuwafanya watu hao kuwa na mapenzi ya kufa mtu,
  Tazama makazi ya washabiki na wapenzi wa CCM
  [​IMG]


  [​IMG]
   

  Attached Files:

Loading...