Miaka bilioni 3.8 iliyopita sayari Venus na Mars zilikuwa na kama vya dunia

chizcom

JF-Expert Member
Jul 31, 2016
7,581
15,729
Huwezi kukubali ila kubali sababu sayansi ndio imekufikisha hapa unatumia JF.

Solar system tunayoisoma leo ilikuwa tofauti miaka bilioni 3.8 kabla ya dunia tuliyopo. DUNIA ilijikuta baada ya mabadiliko ya kianga kukumbwa na meteor zilizobadilisha muonekano wa solar system.


Kiufupi tuite kwa ujumla mawe, mawe makubwa ambayo yalikuja kubadilisha sayari nyingi zilizopo kama kila moja tukianza kuleza tutajaza JF.

Miaka bilion 3.8 solar system ilikuwa sio pana


ukilanganisha na leo. sababu inayopelekea kutanuka ni mabadiliko ya umri wa jua unavozidi kuishi mpaka utakopofikia tamati.

miaka bilion5 huko mbele jua litakapo kuwa linaishiwa nguvu na kuwa red star basi sayari yetu dunia itakuwa karibu na jua na ukanda ambao unaitwa habitable zone yani unaweza kuishi kiumbe kwa mazingira yoyote utakuwa umesogea kufikia uranus.




Picha ya iliyofanyiwa tafiti kulingana na chunguzi katika mfano wa taswira.
 
Siasa za wazungu tu hizo.

Hata mwezini, sijui kwenye sayari gani hawajawahi fika ni propoganda tupu.

Maigizo
 
Naona mada yako inaakisi jina lako kabisaaa

Hhhhhhhhhh
 
Napenda masuala ya space na space exploration ila muda mwingine wanatupiga kamba. Eti maji ya duniani yaliletwa na asteroids ila hilo bado si jibu hicho kimondo kiliyatoa wapi
 
Napenda masuala ya space na space exploration ila muda mwingine wanatupiga kamba. Eti maji ya duniani yaliletwa na asteroids ila hilo bado si jibu hicho kimondo kiliyatoa wapi
ni kweli kabisa siwezi pinga.kuna element za chemical azikuwa ukanda wa anga letu ndio maana unaweza kusikia kuna astereod zenye tani za gold kuliko iliyopo duniani
 
ni kweli kabisa siwezi pinga.kuna element za chemical azikuwa ukanda wa anga letu ndio maana unaweza kusikia kuna astereod zenye tani za gold kuliko iliyopo duniani
Sasa hayo maji yalitoka wapi?
 
Watu wa unyumbulifu)evolution ni Kama walokole kwenye Imani,evolution ni Imani ambayo ni nadra kutumia akili,yote kukwepa uwepo wa mungu muumba wa kila kitu

Sayansi imejibu na inaendelea kujibu maswali mengi sana kuliko hizo dini unazozishadadia upuuzi mtupu.
 
Mambo ya sayansi haya ,kuwaza miaka billion 3 ni hekaya kabisa ,hebu tuwazeni miaka 10- 70 ijayo ,mana hii tunaweza tukajiamlia cha kufanya,hiyo mingine tuwaachie watakao kuwepo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…