Miaka 9 katika ndoa - Simuelewi mume wangu naomba ushauri

Miaka 9 katika ndoa - Simuelewi mume wangu naomba ushauri

mdodoli

New Member
Joined
Feb 13, 2015
Posts
2
Reaction score
1
Mimi ni mwanamke mwenye umri wa miaka 33 mume wangu ana umri wa miaka 41. Sote ni wasomi na wafanyakazi. Tumefunga ndoa miaka tisa iliyopita tuna mtoto mmoja ana umri wa miaka 7.Wakati tunafunga ndoa wote tulikua mabikra. Mimi nilikua sijawahi kuwa na mpenzi na mume wangu akuwahi kua na mpenzi.

Tulianza kushiriki tendo la ndoa siku ile tulipofunga ndoa. Kwa kweli kwa ujumla maisha yetu ya ndoa ni ya furaha kwa mambo yote lakini sio ya kiunyumba.

Mimi na mume wangu atujawahi kuwa mbali kikazi. Maisha yote hadi leo tuko Dar es salaam pamoja. Tulipofunga ndoa miaka ya mwanzoni tulikua tunaweza kukutana kimwili hata mara tatu kwa mwezi, miaka ilivyokua inazidi kwenda ikawa kukutana kimwili inakua mara moja kila baada ya miezi miwili na tukikutana ni bao moja tu.

Sasa hali imezidi kua mbaya kwani sasa imepita miezi sita tunalala kitanda kimoja mume wangu ajanigusa, hali hii inanisononesha kwani natamani mtoto wa pili. Kwakweli atuna ugomvi wowote. Mimi na mume wangu wote ni wacha Mungu.

Mume wangu ni mchapakazi sana tukitoka kazini tuko wote na sio mtu anaependa kwenda kutembea bila familia. Jumamosi na Jumapili mara nyingi tunatoka out tukirudi home akuna kinachoendelea, anageuka ukutani analala kama mtoto hadi asubuhi, wala hata anigusi nikimsogelea hata ashtuki.

Na asubuhi tukiamka tunaenda ofisini na akifika ofisini lazima anitumie message, mke wangu nakupenda sana. Simuelewi na nashindwa kumuuliza maana mimi kama mwanamke naona aibu.

Kwakweli mawazo ya kutoka nje ayapo kabisa kichwani mwangu maana simjui mwanaume mwingine zaidi yake pia namuogopa Mungu siwezi kucheat.Ila kwa hali ilipofikia naona bora nitengane nae niishi maisha yangu maana bila unyumba amna maana ya ndoa na nataka sana mtoto.

Wadau naomba ushauri je hii ni kawaida, nifanyeje.

 
Muulize tatizo nini?
Ngoja wanandoa wenzio wake,sisi mabachelor tupate ilmu hapa!!
 
Tatizo unalo wewe... Haumpi mzuka huenda hata umeongezeka uzito... Umekuwa mnene hasi tu lakini kuliko ulivyo kuwa mwanzo
Kwenye mapenzi lazima uwe muwazi wanaume tunapenda chokochoko mwambie unataka halafu kwenye tendo shughulika aone radha tofauti
 
Matatizo yalikuwepo toka mWanzo bali hukuyajua. Bado maharusi mnakutana na r a 3 kwa mwezi hicho ni cha mtoto. Hiyo ni dozi ya mtu mvivu na ni kwa wiki......

Kaeni myazungunze labda ana kaugonjwa ambazo zinepunguza hamu ya tendo...ikiwa hatakubali...inabidi uweke wazi kuba huwezi kuendekea na ndoa isiyokuwa ba unyumba
 
Maisha yote hadi leo tuko DSm pamoja. [Tulipofunga ndoa miaka ya mwanzoni tulikua tunaweza kukutana kimwili hata mara tatu kwa mwezi], miaka ilivyokua inazidi kwenda ikawa kukutana kimwili inakua mara moja kila baada ya miezi miwili na tukikutana ni bao moja tu.
Hapo kwenye red,

Mabikra, ndio Kwanzaa mumefunga ndoa, kukutana hata Mara tatu kwa mwezi, hili ni tatizo tena kubwa sana.

Kaa chini uongee nae, ama rudi wakubwa
 
....kama uliweza kukaa bila kufanya ngono hadi unaolewa.......nayeye pia aliweza kukaa hivyo kama ulivyoeleza.....basi inaonekana wote ni wazoefu wa kukaa muda mrefu bila ku-do......conclusion ni kwamba hakuna tatizo.

Ushauri: tafuteni faragha wikiendi moja nyie wawili tu, ikiwezekana mbali na mnapoishi (say hoteli kwenye mkoa mwingine), mkumbushane ilivyokuwa siku ya ndoa yenu, halafu baadaye umueleze haya uliyotueleza hapa. Tatizo likiisha urudi hapa kusema, lisipoisha pia ulete mrejesho tuingie hatua ya pili ya ushauri....kila la kheri!
 
Jaribu kumfanyia u utafiti; Chukua wembe kata vizuri kucha za kidole chako cha kati, kisha paka pilipili kwa mbaali! Akilala muingizie taratiiibu dole lenye pilipili mkun.Duni mwake! Ukiona anakifuata kidole ujue ndoa yenu inahitaji mtu wa tatu (dume la mbegu)!
 
Sasa hali imezidi kua mbaya kwani sasa imepita miezi sita tunalala kitanda kimoja mume wangu ajanigusa, hali hii inanisononesha kwani natamani mtoto wa pili. Kwakweli atuna ugomvi wowote.

............

Kwakweli mawazo ya kutoka nje ayapo kabisa kichwani mwangu maana simjui mwanaume mwingine zaidi yake pia namuogopa Mungu siwezi kucheat.

Acha utani wewe mtoto wa kike.
Unaishije sasa bila kumegwa wewe??
Nani kakuhakikishia huyo mumeo huwa habandui nje??
Ebu tafuta mautamu huko nje ndoa utaikuta tu.
Kama na nje ukiona haupendwi basi jua tatizo unalo wewe.
Na kama ukiona mumeo hakuonei wivu kwa kubadirika kwako kugegedwa nje basi jua ana mchepuko umemkamata haswa.
 
Matatizo yalikuwepo toka mWanzo bali hukuyajua. Bado maharusi mnakutana na r a 3 kwa mwezi hicho ni cha mtoto. Hiyo ni dozi ya mtu mvivu na ni kwa wiki......

Kaeni myazungunze labda ana kaugonjwa ambazo zinepunguza hamu ya tendo...ikiwa hatakubali...inabidi uweke wazi kuba huwezi kuendekea na ndoa isiyokuwa ba unyumba

kweli kabisa mkuu yaan kwa mwanaume aliye fit ningumu sana etti mara tatu kwa mwez?! Hapo kwa njemba zilizo makini ingekuwa mara 6 kwa wiki au 5 kwa wiki....
 
Hii mara tatu kwa mwezi imenitisha kidogo, nina wasiwasi mme wako alikuwa bikra upande mmoja, upande wa pili itakuwa lazima watu walimtoa bikra kitambo sanan

Pole sana dada yangu
 
Daaah, hata hiyo scale ya mara 3 kwa mwezi pia ni ngumu....btw, jaribu kujiongeza, jichangamshe... Wewe si unajua gobole limefichwa wapi?
 
Nyie wote mna matatizo hampendani ,au hamna hisia za mapenzi mna mapepo mahaba ndio maana mkawa mabikra wazee katika kizazi hiki cha nyoka mara tatu kwa mwezi ,au ulimaanisha kwa siku.

Hapo hakuna ndoa dadangu mnahitaji maombi ndoa ni kitandani mama ndio maana likaitwa tendo la ndoa hayo mambo ya kutoka out sijui ni mbwembwe tu,tafuteni msaada wa kiroho na mwende hospitali kucheki homoni.
 
Back
Top Bottom