Mkuu unamfahamu huyo binti? Umejuaje kama tinginyaMwambie upunguze unene watu sikuhizi kutongoza matinginya ya nini? Mazoezi afanye hadi apungue na aache mambo ya kidume dume ndio maana haeleweki.
Atoe offer kwanza aone kama watu pia watakauka au lah... Nipe Namba yake
Hayuko bonge, yupo size nzuri tuMwambie upunguze unene watu sikuhizi kutongoza matinginya ya nini? Mazoezi afanye hadi apungue na aache mambo ya kidume dume ndio maana haeleweki.
Atoe offer kwanza aone kama watu pia watakauka au lah... Nipe Namba yake
Si kwasababu mleta mada anadanganya... miaka nane usitongozwe aache kabisa... bora aseme hajafanya mapenzi miaka nane na sio kutongozwaMkuu unamfahamu huyo binti? Umejuaje kama tinginya
Weka picha yake basi. au nitumie namba yake chemba nimcheki whatsappHa
Hayuko bonge, yupo size nzuri tu
Mbona kawaida tuSi kwasababu mleta mada anadanganya... miaka nane usitongozwe aache kabisa... bora aseme hajafanya mapenzi miaka nane na sio kutongozwa
Masister wa Dini tu wanatongozwa huyo mwenye Shepu zake asitongozwe tena miaka nane? kuna wanawake huwa wanajisogeza sehemu na wadau faster hutongoza maybe yeye no telephone operator wa night shift na asubuhi anaenda lala siku nzima akiamka ni job na anakaa sehemu zisizo na watu.Mbona kawaida tu
Niamini mimi hili jambo linawezekana kabisaMasister wa Dini tu wanatongozwa huyo mwenye Shepu zake asitongozwe tena miaka nane? kuna wanawake huwa wanajisogeza sehemu na wadau faster hutongoza maybe yeye no telephone operator wa night shift na asubuhi anaenda lala siku nzima akiamka ni job na anakaa sehemu zisizo na watu
Kalaghabao sasa hapo yeye ndio anachagua hilo sasa ni Tatizo mwambie Mlaleo anataka namba yako. alafu kumbuka Mkuwadi ni kosa kisheriaTuma Picha yko pm nimuonyeshe, anataka dume kweli sasa
We kibokoMasister wa Dini tu wanatongozwa huyo mwenye Shepu zake asitongozwe tena miaka nane? kuna wanawake huwa wanajisogeza sehemu na wadau faster hutongoza maybe yeye no telephone operator wa night shift na asubuhi anaenda lala siku nzima akiamka ni job na anakaa sehemu zisizo na watu.
Huyu Demu alipendwa na Dudubaya hachagui habagui ...
Me Mlaleo mkuu mambo ya majina ya Wanyama tuwaachie Wangoni Mwisho utaniita Kiboko JohnWe kiboko