Miaka 7 Badae, Samsung S2 Bado Ni Simu Bora.

Msolo

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2008
Posts
3,829
Reaction score
5,270
Brand nyingi zinazotumia mfumo endeshi wa Android hazina tofauti sana, zaidi ya mabadiliko (updates) kwenye hardware, mimi natumia Samsung Galaxy S2 ni toleo la 2011 miaka 7 nyuma, lakini nimeweza kui-root n natumia Lineages OS 7.1.2 Nougat.

Ina 1Gb RAM, storage ni 16gb na Processor ni 1.2Ghz dual processor, na update ya Oreo(8) ikiwa tayari nita-update pia.

Ukweli specification zake haziko tofauti sana na simu nyingi zinazotoka wakati huu, kwangu bado ni simu bora inayotumia mfumo wa Android.

Kwa hiyo huwa sioni cha ajabu sana, labda kwenye simu zenye Os tofauti kama iphone.
ed7cfc62aa0398c221cea1ab6247d9f3.jpg
 
Mm nina s2 yangu ipo kabatini tu mpk betri imeisha natamani sana nifanye update ifikie huko mkuu
 
Ww ndo mjanja wa mjini, kusema kweli hata mm sioni tofauti kati ya simu za android, kinachonifanya kubadili simu ni kukosa updates tu wala c kingine, lakini kama ningeweza kupata updates wala nisingebadili
Uko sahihi sana, tafuta simu moja yenye specs nzuri, unayoweza pokea updates wakati wote, hii pia ni kwa wanaotumia iPhone, tafuta atleast 5s au SE utapokea updates zao zote mbeleni, hakuna haja ya kila wakati kubadilisha kifaa chako.
 
Nina Vimeo viwili
1 S3 imekufa camera na kioo

iPhone 6 imekufa kioo
Sijawahi ona sababu ya kubadili simu
 
si kweli mkuu kuna utofauti mkubwa tena sana. ni simu nzuri kwa kuchat kupiga simu na mambo madogo madogo ila ukipewa task yoyote kubwa inadata haitafanya chochote.

-Hio simu ipo enzi za 32bit sasa hivi android ni 64bit

-inamiss hardware za kisasa vitu kama ram zenye speed zaidi, bluetooth mpya, processor yenye nguvu zaidi, gpu y3nye nguvu zaidi, vioo vyenye resolution kubwa etc
 
Yes Mkuu, naelewa tofauti hiyo hasa kwenye hardware, maoni yangu yalikuwa ni general hasa kulingana na matumizi ya wengi wetu, ni wachache wanafikia viwango vya juu vya matumizi ya hivi vifaa kulingana na spefication zake.

Na kwasababu hiyo wengi wanahitaji updates za os kuliko hardware, mfano mimi natumia hyo S2 kwa android na iPhone SE kwa iOS najua kwa specification zake na matumizi yangu ntahitaji updates zaidi kuliko kununua kifaa kipya.
 
nimeona kwenye thread ile nyengine ulivyomjibu jamaa, ni kweli manufacture wengi wamafanya hivyo ili ununue simu mpya. wengi wanatoa updates za miaka 2 tu, wachache wanazidi hapo na wengine hawatoi kabisa.

ila sasa hivi kuanzia android 8 simu yoyote itakayotengenezwa ya oreo lazima ije na kitu kinaitwa project treble, ambapo wanatenganisha operating system na vitu vya hardware kama drivers. simu itakuwa na partition mbili moja os na moja driver na mawasiliano mengine ya hardware. hivyo itakuwa ni rahisi ku update simu kuanzia android 8 pengine simu zijazo zikawa zina maisha marefu zaidi.
 
Yes Mkuu, nafikiri itakuwa nzuri zaidi, mtu unajibana kununua kifaa chako kizuri halafu una-enjoy updates tu. Shukrani kwa mchango.
 
Kwann Simu Unahitaji Kuupdate Hebu Nipe Faida Zake ?
 
nimeona kwenye thread ile nyengine ulivyomjibu jamaa, ni kweli manufacture wengi wamafanya hivyo ili ununue simu mpya. wengi wanatoa updates za miaka 2 tu, wachache wanazidi hapo na wengine hawatoi kabisa.

ila sasa hivi kuanzia android 8 simu yoyote itakayotengenezwa ya oreo lazima ije na kitu kinaitwa project treble, ambapo wanatenganisha operating system na vitu vya hardware kama drivers. simu itakuwa na partition mbili moja os na moja driver na mawasiliano mengine ya hardware. hivyo itakuwa ni rahisi ku update simu kuanzia android 8 pengine simu zijazo zikawa zina maisha marefu zaidi.
mkuu naomba unipe sifa, ubora na durability ya simu aina ya Samsung galaxy S3 na itel S31.
 
kwa ubora na sifa za simu s3 ipo juu kila idara kuliko hio itel sababu,

-s3 ina kioo cha amoled halafu ni HD yaani 1280x720 wakati itel unapata kioo dhaifu cha tft ambacho hata HD hakijafika. ni 1024x600
-hio itel bado inatumia cortex a7 s3 ilitumia cortex A9 au krait kutegemea na version
-pia s3 ina ram 1gb au 2gb na internal 16gb au 32gb compare na 1gb na 16gb ya itel.

kifupi s3 ni bora kuliko hio itel.

ila kwenye durability sasa, s3 ni simu ya kizamani imetoka miaka 6 iliopita hivyo unapoinunua ujue unanunua kitu cha zamani japo kipindi chake ilikuwa imara ila sasa hivi inaweza ikawa imeshachoka. na huyo mwengine ni mchina pengine hata mwaka usiishe iharibike.
 
asante sana mkuu, nna Samsung galaxy S3 nlitaka niiuze ili nipate sim ya line 2 lkn internal isipungue 16 gb
 
Ifufue hiyo, uta-enjoy sana.
Wamezuia kuupdate some important Apps na wala hutaenjoy. Mimi ninayo S2 mpaka leo... was one of the best phones. Sasa watoto wanaitumia kuchezea games
 
Brand nyingi zinazotumia mfumo endeshi wa Android hazina tofauti sana, zaidi ya mabadiliko (updates) kwenye hardware, mimi natumia Samsung Galaxy S2 ni toleo la 2011 miaka 7 nyuma, lakini nimeweza kui-root n natumia Lineages OS 7.1.2 Nougat.

Ina 1Gb RAM, storage ni 16gb na Processor ni 1.2Ghz dual processor, na update ya Oreo(8) ikiwa tayari nita-update pia.

Ukweli specification zake haziko tofauti sana na simu nyingi zinazotoka wakati huu, kwangu bado ni simu bora inayotumia mfumo wa Android.

Kwa hiyo huwa sioni cha ajabu sana, labda kwenye simu zenye Os tofauti kama iphone.
ed7cfc62aa0398c221cea1ab6247d9f3.jpg
Mkuu vp unaweza updates ram, storage na uwezo wa camera?
 
Back
Top Bottom