Kweli unamanisha haya au huko kwenye utani.Rweye na wenzako yanapokuja mazuri mfano kwanini tusitoe elimu na huduma ya afya bure mnasema atuwezi kua kama marekani sababu wao walipata uhuru mapema. Je umaskini mnaanza kuaa eti na Marekani wapo ....sasa inamaana sisi tubaki tu hivyo! Tatizo lenu nikwamba mnashindwa kusoma wakati na mahitaji. Je kama Marekani kuna umaskini lini wamarekani wamekufa na kipindupindu?
Je chama gani marekani kimeongoza zaidi ya miaka 54 bila kupumzika.? Tunaitaji competitive politics for a prosperity and democracy.
Tunamatatizo tofauti na tunaitaji majibu tofauti kutoka chama na serikali tofauti.